Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchaguzi ukiisha tuendelee na kazi. Mambo ya kujengeana bifu ni upuuzi mtupu. Wote ni walipa kodi na maendeleo hayana chama. Wapo baadhi ya wabunge na madiwani baadhi ya maeneo yao haya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Nafasi anayogombea Mulamula ndio nafasi ambayo Membe aliomba na kuchinjiwa baharini na Mwendazake 🤪🤪. Rais Samia hana kinyongo so ameamua kumbeba Balozi Mulamula.. --- RAIS Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu . Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe inasambazwa kwa watu wote...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Huu muungano wa kuletewa viongozi someni muone maradhara yake
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Wakuu, Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile. Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kusikiliza uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na John Mnyika leo nimeamini kabisa hii taarifa ya kuhongwa milioni 65 ni ya kweli. Kwenye uchambuzi wake John Mnyika hamna sehemu yoyote...
2 Reactions
14 Replies
753 Views
Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Leo ni kumbukizi ya kifo cha mzee karume aliyeuwawa tarehe kama ya leo huku mioyo ya wanatanzania ikiwa imejaa damu kutokana na wizi na ufisadi ndani ya mamlaka za serikali. Happy Karume Day...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa. Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa. Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Nimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA. Ameandika "Dios los bendiga a todos Embajador tanzano designado en Cuba"
16 Reactions
116 Replies
7K Views
Mkuu wa mkoa tunga wimbo wa kutuita tuje tujadiri nini cha kufanya dhidi ya mkoa wetu. Ni aibu sisi kusikia mkoa wetu upo miongoni mwa mikoa masikini. Kuna umuhimu wa kutuita tunaaibika sana...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa CAG mh Kichere ni kwamba Fedha za Plea bargaining ziliingizwa Katika akaunti tofauti tofauti ikiwemo ya Hazina Kuu badala ya ile akaunti husika. Kwahiyo utagundua hapo Fedha...
11 Reactions
169 Replies
9K Views
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye anatajwa Kama kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na anayechukuliwa Kama mtetezi wa waafrika wote Ameuwasha Moto,Amepiga kiberiti,Ni Moto...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kikwete aliwafunga mawaziri katika serikali ya Mkapa, Basil Mramba na Daniel Yona, hawa walikuwa viongozi wakubwa Magufuli anasemwa alipambana na ufisadi na Serikali ya Kikwete ilisemwa sana na...
11 Reactions
102 Replies
7K Views
Wakuu kwa uelewa wangu mdogo mno wanapo kuja kufanya ukaguzi, na wakagundua kasolo kadhaa, huwa wanatoa muda wahisika waonyeshe Documents zinazo miss na kama wakizionyesha basi Auditor hu clear na...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom