sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Tunapoamka na kujadili suala Bandarini, jamani tunaomba mtuelewe hakuna anaepinga uwekezwaji bandarini, sote yaani wote tunaitaji uwekezwaji tunautaka ndio maana mtu kama Mimi sifi Leo na Mzee wangu Leo na mama sifi wote wanakubali kabisa uwekezwaji.
Ila inapofika hatua tunaambiwa kwenye mkataba Kuna vifungi havipo sawa tunasema virekebishwe tu mambo yaende sawa.
Kuna kauli nimeikumbuka aliisema Mhe. Rais wetu mpendwa pale Arusha kwenye maadhimisho ya Siku ya madawa ya kulevya Duniani baada ya kumshuhudia Innocent baada ya kudungwa sindano ya madawa ya kulevya mbele yake, hakika lile igizo lilinitoa machozi hata mtoto wa sifi Leo yaani Hance nae alilia baada ya kuona mama akilia na Innocent akilia.
Mama alisema njia za madawa ni nyingi Zanzibari pia ni Moja ya lango, akaenda mbali zaidi na kusema endapo tutabinafusisha bandari patafungwa mitambo ambayo itasaidia kuzuia lango la madawa ya kulevya.
Hii ina maana hapo bandarini Kuna watu wanasafirisha madawa ya kulevya kupitia kwenye "content" Sasa Dp world watafunga mitambo ambayo itakuwa inanusa mpaka madawa ya kulevya na hayatapita tena.
Swali: Ulinzi wa bandarini unafanywa na nani? Hivi walinzi wa Tanzania mmekubali mitambo ipewe kazi zenu nyinyi mnafaida gani Duniani kama mnashindwa kazi hizi?
Mhe. Rais kama hivi ndivyo Mimi napongeza ubinafsishwaji ufanyike hata jeshi la polisi liuzwe!