Sasa kama una Maswali Mbunge wako ndio anarudi jimboni kwa ajili ya kutoa Elimu kwa Wananchi
Kadhalika unaweza kupitia Mabanda ya Bunge na TPA pale Uwanja wa Maonesho ya Kimataifa Saba Saba kwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu kada wake Balozi Ali Abeid Karume kutokana na kauli zake za kukidhalilisha chama na viongozi wake.
Hatua hiyo...
Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo...
WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za...
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind"
na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya...
Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati.
Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni...
(Kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Ibara ya 18(2):
Ndugu Waandishi wa Habari,
Kwa kutumia Haki yetu ya Kikatiba, “ Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini...
Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba...
MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
MHE. JACQUELINE KAINJA AHOJI ZAHANATI KUFUNGULIWA BILA VIFAA TIBA MKOA WA TABORA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
Mkataba wa bandari, kwa kipimo chochote kile cha uelewa, ni mkataba wa hovyo kabisa. Mkataba huu wa hovyo kuna watu wameusaini, wabumge wakaubariki.
Wenye akili kubwa, wakiwemo viongpzi wa dini...
Kwa Siku kadhaa sasa mifumo ya bandari haifanyi kazi hivyo kupelekea wadau ktk Masuala ya forodha kukwama kutoa mizigo mbalimbali.
Mkwamo wa System Kwa muda mrefu huleta usumbufu mkubwa ,hasara...
Ni wazi sasa wale wote walikuwa wanapotosha kwa makusudi kuhusu tafsiri ya Sheria kuhusu Mkataba wa DP World Dubai na Serikali ya Tanzania, sasa wameishiwa pumzi kabisa na wapo "bar" wanaulizana...
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.
Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani...
Muhimbili wwte wa serikali inapotekea ukawa abused lazima sisi WANANCHI wa Hali ya chini tuusemee maana sisi tunaieshimu Hiyo miimili jaman
Kitendo Cha ndugu yetu Rostam Azizi kutwambia mkataba...
Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa...
Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba
Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni.
Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa...
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwashukuru wote mliochangia mijadala mbali mbali ya kuhusu ukodishwaji wa sehemu ya bandari kwa kuwa nyote mlikuwa na nia njema ya kujenga na kulinda rasilimali...
Naamini nitakuwa nimeeleweka bunge letu tumeliona kama linaleta faida au hasara kwa taifa Mimi kama mwananchi naunga mkono kuuza tasisi zote zilizo na UFANISI mbovu kwa taifa kama bandari ila kwa...
Rais wa Zanzibar,Dr. Ali Mohamed Shein amekwama katika kumteua Makamu wa Kwanza wa Rais wa Visiwani humo. Kikatiba,Makamu wa Kwanza wa Rais anapaswa kupendekezwa na chama chake na kuteuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.