Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
------------ Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paulo Makonda amesema kuwa kwa fedha ya kitanzia ni kipato cha mtanzania kuwa na dola milioni mbili mpaka tatu kwenda mpaka milioni tisa mpaka kumi...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
"Duniani kuna changamoto ya Corona, hata mimi nimekutana na Balozi wa China, Waziri wa Afya ametoa maelekezo, Rais wetu kaonesha kwa vitendo namna ya kusalimiana, muwe makini pia kuna wengine...
6 Reactions
102 Replies
13K Views
Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza...
19 Reactions
52 Replies
3K Views
Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
19 Reactions
100 Replies
14K Views
Na walikutega kwa Makusudi kwa kukufanya Wewe ndiyo Mgeni rasmi katika Tukio hilo lililofanyika katika Sikukuu ya Pasaka yenye Heshima Kubwa kwa Wakristo (GENTAMYCINE nikiwemo) ili waanze...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Sifa kubwa ya sisi watanzani(sio wote) ni kutumia muda mwingi na nguvu nyingi katika kulalamika huku tukitumia muda mchache na nguvu kidogo katika kupambana na chanzo /vyanzo vya malalamiko yetu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Miaka 2 iliyopita baada ya kuapishwa Rais Samia, TAMISEMI chini ya Bashungwa walianzisha ujenzi vya vituo vya afya na zahanati kila kijiji na pesa kupelekwa katika kila halmahsauri vikitakiwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kiasi kikubwa cha pesa zinazokusanywa kwenye tozo zinarudi kwa wananchi wenyewe kupitia shughuli za uzalishaji mali. Ametolea mfano wa fedha...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Salaaam sana wakuu. Vituo vya Afya; Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo? Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo? Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo...
2 Reactions
115 Replies
6K Views
Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn...
23 Reactions
164 Replies
9K Views
Natumaini mko wazima. Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge...
-1 Reactions
17 Replies
1K Views
Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
MHE. ALOYCE KWEZI APIGANIA ARDHI YA VIJIJI VYA USINGA & UKUMBIKAKOKO ILI WASINYANG'ANYWE Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Mhe. ALOYCE ANDREW KWEZI akiwa Bungeni Dodoma amesema ardhi ya...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma...
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom