MHE. ALOYCE KWEZI APIGANIA ARDHI YA VIJIJI VYA USINGA & UKUMBIKAKOKO ILI WASINYANG'ANYWE
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Mhe. ALOYCE ANDREW KWEZI akiwa Bungeni Dodoma amesema ardhi ya...
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma...
Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya.
Kwa...
Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja...
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA...
Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za Wananchi wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa...
Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la...
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni...
Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio...
Tunataka Katiba Mpya ya kuwawajibisha viongozi sio hii ya kuwalinda wanapobainika wamefuja fedha zetu. Tulishuhudia kashifa ya Richimond ilivyomwondoa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa ilikua...
Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.
Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko...
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka.
Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha...
Kutokuwa na utambuzi wa Chama chao cha Chadema, ilhali na kesi ikiwa inaendelea mahakamani.
Haizuii kuwapongeza pale wanapoibana mamlaka kwa hoja na maswali yenye tija kwa wananchi huko Bungeni...
NANCY HASSAN NYALUSI - AMEIULIZA MASWALI WIZARA YA NISHATI, BUNGENI, DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Hassan Nyalusi amemuuliza swali Waziri wa Nishati Bungeni, Dodoma leo...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa...
Kwenye mazingira ambayo wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi, na hata katika ugumu huo wanatozwa kodi na tozo, halafu anapatikana wa kula pesa hiyo iliyopatikana kwa taabu, na watoaji wa pesa...
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.
SGR Mwanza ina faida gani...
Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi.
Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na...
Mzee Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa ccm amehoji kama kuna mtu ana mashaka tena na uweso wa kiutendaji wa Rais Samia kulingana na hatua Anazochukua.
Makamba amesema sio Haki kumfundisha kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.