Kama Mtendewa alitoa fursa ya kuombwa msamaha ili yaishe lakini Mtenda akakataa maana yake ni Moja tu " kiburi"
Kwahiyo wanaoomba msamaha leo ndio waliomkosea Mh Membe?
Musiba aachwe avune...
MAJIBU YA MHE. MEMBE KWA ASKOFU MWAMAKULA
Baba Askofu Salaam na Asante kwa barua yako ambayo umenitaka nimsamehe Musiba kwa sababu Amesalimu Amri na kwamba hana hela hata kama atauza kijiji...
Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika...
Bungeni waziri Mkuu Kassim majaliwa amepiga marufuku askari wa wanyamapori kuvamia akitaka watoe taarifa kwa umma juu ya operation, hivi anajua kuwa wenyeviti wa vijiji ndio mawakala wa majangili...
Wanajukwaa
Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana.
Ombi kwa
1. Serikali kuu
2. Makamu wa rais muungano na mazingira
3. Tamisemi
Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa...
Kwa takribani wiki kadhaa nchini Tanzania Kuna "Machoko" watu wamepigwa mvua ya mawe ya miaka 30 jera Kwa kuliwa kalioa!
Hicho hapo juu ni kibwagizo ila ni kweli imetokea Tanzania,mnisamehe...
Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi...
Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa
Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017...
Hii itasaidia Sana kuondoa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa...
Kutokana na utafiti wangu mdogo nilio ufanya katika nchi ya Tanzania nime gundua kitu kimoja
Raia wengi wa Tanzania wanapenda na wanataka nchi yao kuwa na maendeleo kama yalivyo mataifa haya:-
i...
Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wakiwa Ujerumani na makamu Mwenyekiti Tundu Lissu ameomba waungwe mkono na watu wote wanaopenda kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mnyika...
Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana.
Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar...
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samaia Suluhu Hassan badala ya kukamata majizi yanayoibia Wananchi kupitia matumizi mabaya anaishia kusema "STUPID".
Sasa huku Wananchi tumeanza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali...
NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI
Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na...
Wanabodi,
Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
Sasa kwanza wenye access kualia...
Baada ya hukumu kutoka siku chache zilizopita, Leo mwanaharakati Cyprian Musiba amejibu Kama ilivyoripotiwa na Dar mpya blog kupitia mtandao wa Twitter
'Sidaiwi na sijawahi kushtakiwa Zanzibar...