Ni kuhabarishana nini kinaendela duniani kuhusu kwetu. Pascal Mayalla tafadhali kama mwandishi nguli tupe maoni yako.
While some western media nicknamed him “bulldozer,” and one opposition...
Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo...
Kukamilika kwa upanuzi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutaisaidia utekelezaji wa Tanzania ya kidijiti na kufungua fursa za kiuchumi na mawasiliano ya uhakika kwa wananchi katika wilaya 23...
Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema...
DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.)...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na chaguo la watanzania anapigana Vita Kali Sana,vita ya kiuchumi, Vita ya kuinua maisha ya watanzania, vita ya...
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi...
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga...
Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano...
Habari,
Nikiwa nasogeza muda jioni hii, nikakutana na habari hii kuwa serikali inafikiria kuwalipa mishahara Madiwani ili kuzuia wizi na tamaa kwenye usimamizi wa pesa za miradi ya halmashauri ya...
Wakuu vipi, kwema.
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia...
Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema...
MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini...
Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku...
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili...
Naona kenya na Uganda wakichukua raia wao haraka baada vita vinavyopigana zaidi mijini ambapo ndio wageni wengi wanaishi na kufanya kazi .
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa katika...
Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa...
Kila awamu ya uongozi Kuna Viongozi wanakuwa tishio Sana sio ndani ya Chama tu hata nje ya Chama!!
Awamu ya tano iliyokuwa inaongozwa na Mh.JPM,kulitokea baadhi ya Viongozi ambao walikuwa tishio...
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara.
Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.