Prof Mkenda: Watakaosoma kozi za Lugha ya Kiswahili ndio watakaopewa Kipaumbele kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,750
141,613
Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi watakaosoma Kozi za Lugha ya Kiswahili ndio watakaopewa kipaumbele kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu.

Lengo ni kupata Wakalimani wengi watakaotafsiri Lugha za Kiingereza, Kichina, Kifaransa, Kichina, Kiisrael, Kihindi, Kihispania nk...nk kwenda Kiswahili

Chanzo: ITV habari
 
Hapa sijaelewa mfano nkisoma education kiswahili na English ntapata mkopo asilimia Mia?
 
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema wanafunzi Watakaosoma Kozi za Lugha ya Kiswahili ndio watakaopewa Kipaumbele kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu.

Lengo ni kupata Wakalimani wengi watakaotafsiri Lugha za Kiingereza, Kichina, Kifaransa, Kichina, Kiisrael, Kihindi, Kihispania nk...nk kwenda Kiswahili

Source ITV habari
Teyari wanataka wawaingize mkenge watoto wa masikini tena..

Kwanza watuambie hawa waliopo ambao wamesoma kiswahili wameshaajiriwa wote..?? Au ndio siasa tu.
 
πš πš‘πš”πš• πšπšžπš“πšžπšŠπš—πšŽ πšŠπš’πšœπšŽπšŽ
 
πš πš‘πš”πš• πšπšžπš“πšžπšŠπš—πšŽ πšŠπš’πšœπšŽπšŽ
 
Tanzania has alot of responsibilities for the rest of African continent. Its a fiduciary duty...
Huko tuendako, using some of proceeds from loan board, TZ should in future start to offer free scholarships to 50 Rwandan, 50 Burundian, 50 Malawian, 50 Commorians and 50 South Sudanese students at UDom in an 'exchange program' (Hahaa I bet it will not be an exchange for sure) just to help other African countries to come through!
 
washaona waliopo wengi hawana kazi,hapa vijana wakiingia kichwa kichwa kusomea iyo kozi ya kiswahili imekula kwao
 
Watu wenyewe hata hiyo English hawajui sijui wataitafsiri vip kwenda kiswahili,

Taifa la machizi!!
 
Watatengeneza rundo la wahitimu wa hicho kiswahili mwishowe wajae mitaani wakose pakuwapeleka.

Haya mambo huwa wanayapeleka kisiasa tu.
 
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema wanafunzi Watakaosoma Kozi za Lugha ya Kiswahili ndio watakaopewa Kipaumbele kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu.

Lengo ni kupata Wakalimani wengi watakaotafsiri Lugha za Kiingereza, Kichina, Kifaransa, Kichina, Kiisrael, Kihindi, Kihispania nk...nk kwenda Kiswahili

Source ITV habari
Huu ndio inaitwa Utopolo. Hivi kweli viongozi wanatumia Nini kujali maisha ya Taifa lijalo. Tunazidi kutengeneza Taifa la hivyo namna hii!!
 
Wanataka kuleta zile siasa za petroleum engineering... hii nchi ya hovyo sana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom