Nasema hivi, Kuna watanzania walimpenda sana Hayati Magufuli kuliko familia yake?au yeye binafsi hakuipenda familia na kuiandaa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru,sifileo simpendi Baba yangu hata akifa kama nitakuwa hai stoshiriki mazishi yake na hata nikishiriki ntamZika Kwa hasira.

Baba wa sifi Leo yupo hai, ni Dakitari bingwa wa binadamu, tajiri mmoja hapo jijini Dsm.

Sina haja ya kumzungumzia sana ila itoshe kusema yakuwa baba mzazi aliniandaa nimchukie Kwa kuto timiza wajibu wa ubaba dhidi yangu na mpaka leo Mimi na yeye ni paka na chui.

Nataka nikwambie wale wanangu wa kuchovya life sio kuloweka na kusepa unapo loweka tambua matokeo ya mloweko na uyatunze la sivyo fresh tumia kifao umwage upite hivi.

Sio agenda ya Leo hii ila Iko Siku ntaeleza kiundani Kwa Nini nipo tayari kati ya mzee wangu na andazi mi ntachagua andazi.

Ndugu zangu watanzania SIE sote hakuna anae penda kuisema mahiti kamwe,hasa marehemu hii ni Kwa sababu ya Mila na desturi zetu.

Binafsi niwe mkweli yakuwa Marehemu Magufuli sikukubaliana na Kila jambo aliro lifanya enzi za madaraka yake na sikusita na sikuogopa kumsema enzi za uhai wake nilisema na ninashukuru Kuna pahala nilimsema wazi wazi ila kwa kajina ka.Sifileo weeee ningetumia jina la kweli najua lazima angenizimisha hakika ingawa Mimi binafs Nina uamini uongozi wa Jamii forum yakuwa hata umfenyeje Max Mero hawezi disclose source ya andiko lolote

Big up kwako bwana mkubwa Max na Bwana Mushi na watendaji wote wa jukwaa Ili hakika mnatusitiri.

Pamoja na kutokunaliana na Kila jambo lake m kumsema lazima tukubaliane yapo mazuri alifanya mwana WA mawe mzira nkende!

Najiuliza ndani ya familia yake Magufuli hakuanda mtoto au ndugu hata mmoja wa kumtetea anapotumika visivyo?

Wiki tatu zilizo pita nilipata nafasi ya kujadiri jambo Ili na mmoja wa watu WA karbu aa marehemu nalo ni

Matumizi ya picha ya Rais Magufuli akiwa amevalia gwanda la jeshi kwenye kitabu Cha I am the State kama familia ililiridhia au la?

Jibu ni kuwa haikuridhia na hawajui lolote je Dora iliyopo madarakani Kwa Nini iruhusu picha ya Rais itumike Kwa matendo hasi tu aliyoyafanya na sio hasi na chanya?je Dora yausika?

Natambua Rais mkapa na magufuli yawezekkana ndo marahisi ambao hawajandaa familia za kuwasemea au kuwatetea.
 
Wewe ni mpumbavu kwa sababu hujui pia hata kizazi chako lazima kifuate nyendo za mzazi wao, na ukifuatilia kwenye ukoo wenu, kuna waliowahi kumchukia babu ya babu yenu, na mwendelezo utakuwa ni hivyo tu

Hakuna kitu kibaya ambacho binadamu humuathiri maisha yake kama kutokusamehe wengine!

Kwani wewe haujawahi kuwaumiza wengine na wakakusamehe?

Wewe ni mpumbavu na hakuna faida utayoiambulia kwa kumchukia maisha babako
 
Mwandiko mrefuuuuu....unataka tuu ufafanuz wa picha kutumika....sasa ww ngosha Yule alikuwa public figure over.
 
Inaweza kuwa Baba yako ni muungwana kuliko Mama yako, ila kamsitiri Mama yako, alishathibitisha wewe sio mwanae?

Kama ni Baba yako, basi ujue una share sehemu ya ubaya na ukatili wake kwenye DNA yako, kwa hiyo unachomtenda labda utatendwa.

Wema na kusamehe vinavunja uhalali wa asili za laana kwa wanadamu, ukimtendea wema ni mwanzo wa hiyo tabia kutotokea katika uzao wako.

Mambo ya Magufuli mwachie yeye na wanawe, ndo wanajua ubaya wa Baba yao, maana sisi hatujui, kama ambavyo wewe unaujua wa Baba yako ba sisi hatuujui.
 
Wazalendo hawarithishi madaraka familia zao. Wote Nyerere, Mkapa na Magufuli.
Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi.

Mama Samia yeye bado kitabu chake kinaandikwa, mpaka sasa naona anakwenda vizuri. Lakini atambue waliompenda JPM ni wengi, na wengi wao ni wana CCM ambao ndio wapiga kura wake wakuu.

Ajitahidi kuilinda heshima ya bosi wake wa zamani, ni jambo la utu na uungwana.
 
Tegemea kutukanwa sana mleta mada , na reference itakayotumika ni mwanzo wa uzi wako.
Yote kwa yote Magufuli hakupaswa kulipwa hivi na watanzania, ila kwa sababu ya ubinafsi na maslahi ya kibinafsi yalipoguswa ndio matokeo ya kutukanwa namna hiyo.

Tuendelee kuweka kumbukumbu sawa Magufuli atatajikana sana kwenye vinywa vya watu , wasio wema na wama, bahati nzuri enzi za uhai wake aliwahi kusema siku akiwa hayupo ndio thamani yake imeonekana!
Na kweli tumeiona.
 
Watanzania ni kikundi Cha watu wachache walio wengi Bado wanakumbuka mema
 
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru,sifileo simpendi Baba yangu hata akifa kama nitakuwa hai stoshiriki mazishi yake na hata nikishiriki ntamZika Kwa hasira.

Baba wa sifi Leo yupo hai, ni Dakitari bingwa wa binadamu,tajiri mmoja hapo jijini Dsm.

Sina haja ya kumzungumzia sana ila itoshe kusema yakuwa baba mzazi aliniandaa nimchukie Kwa kuto timiza wajibu wa ubaba dhidi yangu na mpaka leo Mimi na yeye ni paka na chui.

Nataka nikwambie wale wanangu wa kuchovya life sio kuloweka na kusepa unapo loweka tambua matokeo ya mloweko na uyatunze la sivyo fresh tumia kifao umwage upite hivi.

Sio agenda ya Leo hii ila Iko Siku ntaeleza kiundani Kwa Nini nipo tayari kati ya mzee wangu na andazi mi ntachagua andazi.

Ndugu zangu watanzania SIE sote hakuna anae penda kuisema mahiti kamwe,hasa marehemu hii ni Kwa sababu ya Mila na desturi zetu.

Binafsi niwe mkweli yakuwa Marehemu Magufuli sikukubaliana na Kila jambo aliro lifanya enzi za madaraka yake na sikusita na sikuogopa kumsema enzi za uhai wake nilisema na ninashukuru Kuna pahala nilimsema wazi wazi ila kwa kajina ka.Sifileo weeee ningetumia jina la kweli najua lazima angenizimisha hakika ingawa Mimi binafs Nina uamini uongozi wa Jamii forum yakuwa hata umfenyeje Max Mero hawezi disclose source ya andiko lolote

Big up kwako bwana mkubwa Max na Bwana Mushi na watendaji wote wa jukwaa Ili hakika mnatusitiri.

Pamoja na kutokunaliana na Kila jambo lake m kumsema lazima tukubaliane yapo mazuri alifanya mwana WA mawe mzira nkende!

Najiuliza ndani ya familia yake Magufuli hakuanda mtoto au ndugu hata mmoja wa kumtetea anapotumika visivyo?

Wiki tatu zilizo pita nilipata nafasi ya kujadiri jambo Ili na mmoja wa watu WA karbu aa marehemu nalo ni

Matumizi ya picha ya Rais Magufuli akiwa amevalia gwanda la jeshi kwenye kitabu Cha I am the State kama familia ililiridhia au la?
Jibu ni kuwa haikuridhia na hawajui lolote je Dora iliyopo madarakani Kwa Nini iruhusu picha ya Rais itumike Kwa matendo hasi tu aliyoyafanya na sio hasi na chanya?je Dora yausika?

Natambua Rais mkapa na magufuli yawezekkana ndo marahisi ambao hawajandaa familia za kuwasemea au kuwatetea.
Kijana wa Magufuli,hongera kwa kujitokeza kwa hili.
Niende kwenye game yako na baba yako,sijui chanzo cha viapo vyako na sijui wewe ni jinsia gani lkn km wewe ni me basi naomba nikwambie kwamba binadamu wa ke siyo mara zote lkn mara nyingi huwa ni chanzo cha migogoro baina mtoto na mzazi mwenzie.

Na ukifuatilia sana unaweza kukuta kuna ujangili flani alitaka kumfanyia baba yako,ile baba yako kugutuka ndo akaamua akutenganishe na baba yako. Hawa viumbe buana huwa hawaoni tabu kumtamkia mzazi mwenzie"wewe una hadhi ya kuzaa mtoto km huyu? Mbele ya wanaume wenzako nawe unaropoka kuwa una mtoto km huyu?)

Wakati anakwambia hayo siyo kwamba ana maanisha,bali ana amini kuwa utaumia moyoni japo kidogo kumbe ana hatarisha hatima ya mtoto na baba yake. Nina mfano hai kuhusu hili.
Hakuna mwanaume anaye kubaliana na kinywa kichafu kwa kiwango.

Kila la kheri mkuu ktk safari yako ya kuweka chuki kwa mzazi wako ila jitahidi sasa USIZAE.
 
Wewe ni mpumbavu kwa sababu hujui pia hata kizazi chako lazima kifuate nyendo za mzazi wao, na ukifuatilia kwenye ukoo wenu, kuna waliowahi kumchukia babu ya babu yenu, na mwendelezo utakuwa ni hivyo tu

Hakuna kitu kibaya ambacho binadamu humuathiri maisha yake kama kutokusamehe wengine!

Kwani wewe haujawahi kuwaumiza wengine na wakakusamehe?

Wewe ni mpumbavu na hakuna faida utayoiambulia kwa kumchukia maisha babako
Basi wewe Kisamv ni HAYAWANI kabisa. Ukitaka usemwe vizuri ukisha kufa unapaswa ujiandae kwa kufanya mema kwa binadamu. Wamekufa akina Nyerere na Mkapa lakini ukiingia JF hata wakosoaji wao wanaandika mambo ambayo wao wenyewe Mkapa na Nyerere walikiri kuwa walifanya makosa. Hivyo mkuu sifi leo mu IGNORE huyu kisamvu
 
Akiniiginoo nitapungukiwa nini na we fala!!
 
B
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru,sifileo simpendi Baba yangu hata akifa kama nitakuwa hai stoshiriki mazishi yake na hata nikishiriki ntamZika Kwa hasira.

Baba wa sifi Leo yupo hai, ni Dakitari bingwa wa binadamu,tajiri mmoja hapo jijini Dsm.

Sina haja ya kumzungumzia sana ila itoshe kusema yakuwa baba mzazi aliniandaa nimchukie Kwa kuto timiza wajibu wa ubaba dhidi yangu na mpaka leo Mimi na yeye ni paka na chui.

Nataka nikwambie wale wanangu wa kuchovya life sio kuloweka na kusepa unapo loweka tambua matokeo ya mloweko na uyatunze la sivyo fresh tumia kifao umwage upite hivi.

Sio agenda ya Leo hii ila Iko Siku ntaeleza kiundani Kwa Nini nipo tayari kati ya mzee wangu na andazi mi ntachagua andazi.

Ndugu zangu watanzania SIE sote hakuna anae penda kuisema mahiti kamwe,hasa marehemu hii ni Kwa sababu ya Mila na desturi zetu.

Binafsi niwe mkweli yakuwa Marehemu Magufuli sikukubaliana na Kila jambo aliro lifanya enzi za madaraka yake na sikusita na sikuogopa kumsema enzi za uhai wake nilisema na ninashukuru Kuna pahala nilimsema wazi wazi ila kwa kajina ka.Sifileo weeee ningetumia jina la kweli najua lazima angenizimisha hakika ingawa Mimi binafs Nina uamini uongozi wa Jamii forum yakuwa hata umfenyeje Max Mero hawezi disclose source ya andiko lolote

Big up kwako bwana mkubwa Max na Bwana Mushi na watendaji wote wa jukwaa Ili hakika mnatusitiri.

Pamoja na kutokunaliana na Kila jambo lake m kumsema lazima tukubaliane yapo mazuri alifanya mwana WA mawe mzira nkende!

Najiuliza ndani ya familia yake Magufuli hakuanda mtoto au ndugu hata mmoja wa kumtetea anapotumika visivyo?

Wiki tatu zilizo pita nilipata nafasi ya kujadiri jambo Ili na mmoja wa watu WA karbu aa marehemu nalo ni

Matumizi ya picha ya Rais Magufuli akiwa amevalia gwanda la jeshi kwenye kitabu Cha I am the State kama familia ililiridhia au la?
Jibu ni kuwa haikuridhia na hawajui lolote je Dora iliyopo madarakani Kwa Nini iruhusu picha ya Rais itumike Kwa matendo hasi tu aliyoyafanya na sio hasi na chanya?je Dora yausika?

Natambua Rais mkapa na magufuli yawezekkana ndo marahisi ambao hawajandaa familia za kuwasemea au kuwatetea.BADALA YA KUSOMA KITABU UPATE CONENTS WEWE UNAANGALIA PICHA MIAFRICA BHANA
Badala ya kusoma contents we unaangalia picha tu. Pumbav kwahiyo na zile zilizopo maofisini familia yake iliulizwa
 
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru,sifileo simpendi Baba yangu hata akifa kama nitakuwa hai stoshiriki mazishi yake na hata nikishiriki ntamZika Kwa hasira.

Baba wa sifi Leo yupo hai, ni Dakitari bingwa wa binadamu,tajiri mmoja hapo jijini Dsm.

Sina haja ya kumzungumzia sana ila itoshe kusema yakuwa baba mzazi aliniandaa nimchukie Kwa kuto timiza wajibu wa ubaba dhidi yangu na mpaka leo Mimi na yeye ni paka na chui.

Nataka nikwambie wale wanangu wa kuchovya life sio kuloweka na kusepa unapo loweka tambua matokeo ya mloweko na uyatunze la sivyo fresh tumia kifao umwage upite hivi.

Sio agenda ya Leo hii ila Iko Siku ntaeleza kiundani Kwa Nini nipo tayari kati ya mzee wangu na andazi mi ntachagua andazi.

Ndugu zangu watanzania SIE sote hakuna anae penda kuisema mahiti kamwe,hasa marehemu hii ni Kwa sababu ya Mila na desturi zetu.

Binafsi niwe mkweli yakuwa Marehemu Magufuli sikukubaliana na Kila jambo aliro lifanya enzi za madaraka yake na sikusita na sikuogopa kumsema enzi za uhai wake nilisema na ninashukuru Kuna pahala nilimsema wazi wazi ila kwa kajina ka.Sifileo weeee ningetumia jina la kweli najua lazima angenizimisha hakika ingawa Mimi binafs Nina uamini uongozi wa Jamii forum yakuwa hata umfenyeje Max Mero hawezi disclose source ya andiko lolote

Big up kwako bwana mkubwa Max na Bwana Mushi na watendaji wote wa jukwaa Ili hakika mnatusitiri.

Pamoja na kutokunaliana na Kila jambo lake m kumsema lazima tukubaliane yapo mazuri alifanya mwana WA mawe mzira nkende!

Najiuliza ndani ya familia yake Magufuli hakuanda mtoto au ndugu hata mmoja wa kumtetea anapotumika visivyo?

Wiki tatu zilizo pita nilipata nafasi ya kujadiri jambo Ili na mmoja wa watu WA karbu aa marehemu nalo ni

Matumizi ya picha ya Rais Magufuli akiwa amevalia gwanda la jeshi kwenye kitabu Cha I am the State kama familia ililiridhia au la?
Jibu ni kuwa haikuridhia na hawajui lolote je Dora iliyopo madarakani Kwa Nini iruhusu picha ya Rais itumike Kwa matendo hasi tu aliyoyafanya na sio hasi na chanya?je Dora yausika?

Natambua Rais mkapa na magufuli yawezekkana ndo marahisi ambao hawajandaa familia za kuwasemea au kuwatetea.
Kama unamchukia baba yako kiasi hicho wewe unafaida kweli duniani!!?
 
Hata
Basi wewe Kisamv ni HAYAWANI kabisa. Ukitaka usemwe vizuri ukisha kufa unapaswa ujiandae kwa kufanya mema kwa binadamu. Wamekufa akina Nyerere na Mkapa lakini ukiingia JF hata wakosoaji wao wanaandika mambo ambayo wao wenyewe Mkapa na Nyerere walikiri kuwa walifanya makosa. Hivyo mkuu sifi leo mu IGNORE huyu kisamvu
Hata Wewe unamdiss baba yako??
 
Inaweza kuwa Baba yako ni muungwana kuliko Mama yako, ila kamsitiri Mama yako, alishathibitisha wewe sio mwanae?

Kama ni Baba yako, basi ujue una share sehemu ya ubaya na ukatili wake kwenye DNA yako, kwa hiyo unachomtenda labda utatendwa.

Wema na kusamehe vinavunja uhalali wa asili za laana kwa wanadamu, ukimtendea wema ni mwanzo wa hiyo tabia kutotokea katika uzao wako.

Mambo ya Magufuli mwachie yeye na wanawe, ndo wanajua ubaya wa Baba yao, maana sisi hatujui, kama ambavyo wewe unaujua wa Baba yako ba sisi hatuujui.
Sijui unaabudu wapi.

Lakini kumbuka ile amri:

'Mheshimu Baba ba Mama yako, upate miaka mingi na heri Duniani"

Japo kuna andiko pia lisemalo: 'wazazi wapebdeni watoti wenu wasije wakakata tamaa', lakini kwenye hili hata halisemi utapata thawabu gani kwa kuwapenda watoto wako zaidi ya kuwafanya wasikate tamaa.

Kwenye amri hiyo ya kuwapenda wazazi wako, imeandikwa na thawabu utakayoipata.

Unaweza kupuuza, lakini mimi nakushauri, nenda kwa Baba yako, tena kwa kujishusha mpaka chini, na kumwambia, "Baba nimekuja kwako, unisamehe kama kwa namna yoyote ile nilikukoswa iwe kwa maneno au matendo. Ninaomba msamaha wako ili nafsi yangu iwe na amani"

Yawezekana kuna kutoelewana kati ya wazazi wako, lakini kamwe usikubali kubeba sehemu yoyote ya kutoelewana kwao.
 
Kuna namna una matatizo
 
Back
Top Bottom