Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga.
Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa bila kuwa ndani ya management ya kampuni hizi za madini zinazowekeza kwetu, hii asilimia 16 share haitotufaa kitu chochote. Maana hawa watu watu watakuwa wana under declare kiasi cha pesa wanachopata, wewe kazi yako itakuwa kusubiri mgao tu, tena watakaoamua wao!
Tunahitaji mjadala wa kitaifa juu ya madini, na kuanzia sasa serikali iache kuingia mikataba mipya ya madini mpaka Watanzania tutakapojiridhisha kuwa haya mambo sasa tunayajua na kuyaelewa vizuri. So far hadi sasa, Serikali yetu haijui vizuri inafanya nini katika suala la madini.
1. Tumepigwa kiasi cha kutosha kwenye dhahabu.
2. Tumeingia mkataba mbovu ajabu wa madini ya Nickel huko Kabanga.
3. Na juzi hapa tumeingia mkataba mbovu kwenye madini ya Rare earth metals.
Sikiliza hii clip ya Profesa Muhongo na John Heche wakizungumzia jambo hili la madini.