Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu great thinkers popote mlipo, nitafurahi kama nitafurahi kama nyote ni wazima. Nikija katika hoja moja kwa moja. Katika mtandao wa kijamii wa Twitter kumeibuka kundi la wanamtandao...
1 Reactions
5 Replies
594 Views
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye...
14 Reactions
92 Replies
9K Views
Juzi nimeambiwa habari za kushtusha na inabidi nizitoe kwa serikali yetu. Inasemekana kuna Mtanzania ambaye anakaa Kenya mpakani na Tanzania kwa upande huu wa Mkoa wa Mara. Huyu Mzee kazi yake...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Rais wa nchi anasema wale wote waliohusika na matumizi mabaya ya fedha za umma walioguswa na na ripoti ya CAG lazima washughulikiwe. 2. Makamu wa Rais wa nchi naye anasema wale wote waliopiga...
18 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe...
9 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa mashirika yaliyotajwa kujiendesha Kwa Hasara ni shirika la TTCL mpaka imefika hatua inashauliwa yakuwa lianchane na biashara ya kuuza line libakie kusimamia...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti maalumu Chadema mh Conschesta Rwamlaza amechukizwa na kitendo cha Wao kuitwa Covid 19 Rwamlaza amesema wanaowaita hivyo ni wale wasiopendenzwa na Kazi nzuri inayofanywa na Rais...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity? Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake. Katika Mazungumzo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kuhabarishana nini kinaendela duniani kuhusu kwetu. Pascal Mayalla tafadhali kama mwandishi nguli tupe maoni yako. While some western media nicknamed him “bulldozer,” and one opposition...
49 Reactions
270 Replies
35K Views
Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukamilika kwa upanuzi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutaisaidia utekelezaji wa Tanzania ya kidijiti na kufungua fursa za kiuchumi na mawasiliano ya uhakika kwa wananchi katika wilaya 23...
0 Reactions
3 Replies
739 Views
Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.)...
1 Reactions
2 Replies
673 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na chaguo la watanzania anapigana Vita Kali Sana,vita ya kiuchumi, Vita ya kuinua maisha ya watanzania, vita ya...
4 Reactions
105 Replies
4K Views
Nauliza tu kwa Wataalam wa mambo ya Bajeti na fedha Ni haki kutumia miezi 3 kujadili Bajeti ya miezi 12? Nimekaa pale nasubiri majibu
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa. Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom