Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Namshauri tu Waziri wa Fedha awe anafuatilia pia yanayotokea nchi jirani au zinazotuzunguka
Hapo Kenya kwa mfano wameishiwa Fedha za mishahara na 60% ya...
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM.
Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri...
Utangulizi:
Rais Kikwete alivyopambana na rushwa mpaka kuwafunga mawaziri aliekuwa nao kwenye baraza la mkapa wakasema anawaonea maadui zake wa Siasa wakamuita Nyerere wa kizazi kipya, nchi nzima...
Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha.
Zilichukuliwa zikapelekwa...
Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa...
Hivi karibuni mbunge Kessy ametoa wazo juu ya Mhe.Raisi apate kuongezewa muda wa kukaa madarakani. Na Mhe.Spika ameridhia na kusema JPM atake asitake ataongezewa muda.
Kwa mujibu wa katiba yetu...
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia Bunge hasa akiongoza Spika, Dk. Tulia kila jambo analosema Mbunge yeye anasema halijui afundishwe au aeleweshwe, mtakumbuka sakata la TRAB na TRAT aliuliza ndio...
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari...
Spika Ndugai amesema...
Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana...
Mbunge wa Chadema mh Bulaya amesema nchi hii ina ufisadi kila kona kona hivyo Mwezi November Wakati wa kujadili Ripoti ya CAG watawasha moto bungeni
Bulaya amesema Yeye na Mwenyekiti wake Halima...
Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege.
Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia...
Mbunge wa Sengerema mh Tabasamu amesema Wananchi wangejua Bajeti anayotumia CAG kufanya Ukaguzi halafu ripoti yake inapigwa danadana Pasingekalika
Tabasamu amesema kwa mfano CAG akija Sengerema...
Msekwa: Shibuda hamuwezi Kikwete
Na Yusuph Katimba
Majira
17 October 2009
MIZENGWE ya kurudisha nyuma juhudi za Mbunge wa Maswa, John Shibuda kutaka kukamilisha nia yake ya kumng'oa Rais...
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
Kama kuna watu walikuwa wanasumbua CHADEMA katika mwonekano wa jamii ni John Shibuda. Huyu bwana alikuwa CCM akatoka na kuingia CHADEMA ili agombee ubunge na CHADEMA ikampitisha na kweli...
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo...
Mwanza. Wahandisi 40 kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea Daraja la Kigongo-Busisi jijini Mwanza kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo teknolojia mpya.
Teknolojia ya...
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.
Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania...
Wadau nawasalimu.
Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu...
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa.
Wengi wanaamini kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.