MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini...
Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku...
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili...
Naona kenya na Uganda wakichukua raia wao haraka baada vita vinavyopigana zaidi mijini ambapo ndio wageni wengi wanaishi na kufanya kazi .
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa katika...
Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa...
Kila awamu ya uongozi Kuna Viongozi wanakuwa tishio Sana sio ndani ya Chama tu hata nje ya Chama!!
Awamu ya tano iliyokuwa inaongozwa na Mh.JPM,kulitokea baadhi ya Viongozi ambao walikuwa tishio...
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara.
Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa...
Fanya utafiti mdogo tu utakubaliana kuwa Mfumo wa CHAWA CCM wameiga toka Chadema
Bavicha ndio walikuwa na Utaratibu wa kujimilikisha kwa kiongozi mmoja mmoja ndipo Mwenyekiti Wao Patrobas...
Kwa nini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa TANESCO chini ya waziri wake kijana Januari.
Kuingia tu akaja na mipango kemkem TANESCO mmojawapo wa mipango ni huu wa...
Tuihukumu Mbeya,
Mbeya ilitoa viongozi shupavu sana nchi hii na viongozi wenye kujiamini sana na wenye kusimamia misimamo yao kikamilifu, hapa tunamuona Prof. Mwandosya, Sugu, Mwakyembe na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliitaka wizara ya madini kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka kutoka...
Kwanza nitoe Pongezi zangu Nyingi kwa Viongozi wa Kitaifa akiwemo Mh Rais Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania.
Pongezi zingine ziwaendee viongozi wakuu wa vyama vya siasa...
Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa...
Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema...
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati...
MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI.
Na Miko Luoga Tanga
Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za...
TANROADS NI BANDIKA BANDUA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MOROGORO
Na Mwandishi Wetu Morogoro
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetekeleza miradi mbalimbali ya...
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi...
Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.