Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge la Wananchi la CHADEMA Mh. Kihamba amemtaka Waziri mkuu asitishe Zuio la mikopo ya Vijana Wanawake na Walemavu kwa kipindi kilichobaki cha miezi 3 iliyobaki ya FY 2022/23...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wadau hilo ndilo Gari la Mkuu wa Mkoa najaribu kujiuliza Je GARI la KATIBU MKUU na WAZIRI lipoje? KWELI UCHUMI WETU UMEPANDA SANA. Mchana mwema.
19 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote walikuwa wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Hawa wahariri kwa sasa wanalamba asali haswa chini ya waziri wa habari na utangazaji Nape Nnauye, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyefahamu jambo hili. Watu hawa wameuza utu wao kwa...
48 Reactions
258 Replies
14K Views
Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo...
1 Reactions
7 Replies
950 Views
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM. CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa. Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe...
22 Reactions
132 Replies
5K Views
Kwa vile mwenye mamlaka anaelekea kuanza kuruhusu mchakato wa katiba mpya akili yangu inaanza kuelekea kuwaza nini nipendekeze kiwe kwenye katiba mpya. Kwa sasa mapendekezo yangu ni haya machache...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame. Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada. Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta, Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana! Haya ni matokeo tu! Tatizo kubwa lipo na...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
MHE. SANTIEL KIRUMBA ACHANGIA BAJETI YA TAMISEMI SEKTA YA ELIMU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba ameunga mkono hoja ya kupitisha bajeti ya Wizara ya TAMISEMI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za...
11 Reactions
152 Replies
13K Views
SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla, Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa...
379 Reactions
303 Replies
31K Views
Mkoa wa Arusha unaongoza nchini kwa kupatikana na kuchukuliwa kwa matumizi ya huduma za simu, posta na utangazaji; kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni na matokeo ya utafiti mdogo. Arusha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano...
46 Reactions
187 Replies
11K Views
Back
Top Bottom