Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,267
- 11,680
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame.
Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada.
Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa miaka 7, ila tunadili na Serikali.
Miaka mitano ajira kwenye private sector
Nimesoma Azania (walikuja wazee niwe nao nikachomoa).
Advance hapo Airwing (walikajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school, mke wa Kikwete na Mama Magufuli ni walimu wangu (walikuja vijana nikachomoa).
Mtiifu
Naomba kazi ya Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza. Nina sifa za kuwa mtu mwema, elimu ya kutosha na Asante sana.
Mh. Rais sihitaji kuliibia Taifa, naomba kazi.