Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake.
Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo...
Nilikuwa miongoni mwa wafatiliaji wa nukuu za Mh Waziri wa habari na mawasiliano kijana mwenzetu, ndugu Nape Moses.
Lengo langu halikuwa baya siku Ile ya uzinduzi wa mkongo wa Taifa ingawa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma.
SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA
Agizo hilo...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 11 leo Aprili 20, 2023.
Utafiti uliofanywa na Serikali kuhusu takwimu za idadi ya Watoto wa Mtaani Mwaka 2017/18 ulibaini kuna...
Anaposema Walimu waajiriwe wakujitolea hayupo sahihi Kwa mitazamo yangu. Hajui walimu wanaojitolea mashuleni ni zaidi ya laki moja nchi nzima na ajira zenyewe mnawapa kiduchu tena za masimango...
ACT WAZALENDO’S STATEMENT ON THE SITUATION IN SUDAN.
ACT Wazalendo follows with great concern the on-going armed conflict in Sudan between Sudan Armed Force (SAF) and Paramilitary Rapid Support...
Habari jf ,binafsi nimefanikiwa kuishi na wazanzibar wengi sana ,kitu kikubwa nlichokiona kwanza hawana tamaa ya Mali na ni wa aminifu sana.
Hivyo basi binafsi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia...
Wakuu wa nchi huwekwa madarakani na Mungu wa mbinguni na ndio sababu Huapa kwa kutumia Vitabu Vitakatifu.
Ukitegemea waganga kama Pakipande au Mandondo Ikulu utaendelea kuisikia tu hadi uzeeni na...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anahojiwa na ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ( DCI) Jijini Dar Es Salaam muda huu.
Maxence anahojiwa muda mchache baada ya...
Nakerwa sana na tabia za wabunge wa ccm wakati wa kuchangia mijadala bungeni. Hii fashion ya kutumia karibu robo ya muda wa kuchangia kumsifia rais naona ni waste of time. Kumbe kikao Cha budget...
Magufuli alikuwa anaiimarisha CHADEMA kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini CHADEMA ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu...
Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na...
Ifahamike kwamba serikali ya Tanzania ina mpango wa kuijenga upya barabara inayotoka njia panda ya Boda mpaka Itungi Port, tayari TANROAD wameanza upimaji na kazi inakaribia kuanza.
Kama kawaida...
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje...
Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia...
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani...
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe...
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.