Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,997
Reaction score
28,303
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh haya ngoja tusubiri wamjuao
 
Hili nalo mkalitizame
IMG-20230410-WA0046.jpg
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh tuhakikishie usalama kwanza.
 
Binafsi naamini na nitaendelea kuamini kwamba, hakuna Rais yeyote Africa (Pengine duniani) ambaye hajawahi kuwa mtumishi katika taasisi nyeti (Mfano TISS). Rais ni lazima awe na ABC zinazohusu nchi na zaidi ya yote awe na uelewa wa kutosha wa namna ya kuchambua na kupembua taarifa mbalimbali anazoletewa mezani kwake(Japo kuna watu katika ngazi mbalimbali utekelezaji jukumu hili) lakini na yeye hatakiwi kuwa mbumbumbu. Aidha, naamini kwamba katika nafasi zote za ngazi za juu kuanzia kwenye mawaziri, majeshi na mikoa wengi ni vitongo. Ndio maana sijashangaa uteuzi wa yule jamaa aliyewahi kusuka nywele enzi hizo kuwa waziri mdogo.

Nadhani inatosha kwa leo.
 
Ukiwa TISS umesaini hati ya kifo cha wakati wowote kama kifo chako ni kwa maslahi ya taifa na nchi kwa ujumla!!

Kuna level hufikia utatakiwa utolewe sadaka kwa maslahi mapana ya nchi kiujumla!!

TISS siyo mchezo mchezo usiwaone na suti zao nyeusi kila mara ukadhani ni lelemama!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!!
 
Vipi yule rais aliyekuwa DJ, jeshi ikampindua rais aliyekuwa madarakani kisha DJ akajipatia urais.
Andry Rajoelina aliyekuwa akikesha kwenyd ma-night club akipiga ngomas hatimaye alijiokotea urais.

Yaani kama hapa kwetu kufumba na kufumbua dj Majizzo ni rais.
 
Ukiwa TISS umesaini hati ya kifo cha wakati wowote kama kifo chako ni kwa maslahi ya taifa na nchi kwa ujumla!!

Kuna level hufikia utatakiwa utolewe sadaka kwa maslahi mapana ya nchi kiujumla!!

TISS siyo mchezo mchezo usiwaone na suti zao nyeusi kila mara ukadhani ni lelemama!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!!
Hawa askari waonezi tu. Strictly speaking askari ni yule anayepigana na askari mwenzake mwenye training kama yake na silaha kama zake.(kama vita ya Ukraine na Russia)
Wengine wote hawa ni shameless bullies.
 
Back
Top Bottom