Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakerwa sana na tabia za wabunge wa ccm wakati wa kuchangia mijadala bungeni. Hii fashion ya kutumia karibu robo ya muda wa kuchangia kumsifia rais naona ni waste of time. Kumbe kikao Cha budget...
1 Reactions
9 Replies
801 Views
Magufuli alikuwa anaiimarisha CHADEMA kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini CHADEMA ilikuwa ina pambana kwa ajili yao. Mama Samia ametumia mbinu...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na...
-6 Reactions
263 Replies
9K Views
Ifahamike kwamba serikali ya Tanzania ina mpango wa kuijenga upya barabara inayotoka njia panda ya Boda mpaka Itungi Port, tayari TANROAD wameanza upimaji na kazi inakaribia kuanza. Kama kawaida...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje...
1 Reactions
52 Replies
2K Views
Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za...
26 Reactions
95 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa...
22 Reactions
134 Replies
8K Views
Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge la Wananchi la CHADEMA Mh. Kihamba amemtaka Waziri mkuu asitishe Zuio la mikopo ya Vijana Wanawake na Walemavu kwa kipindi kilichobaki cha miezi 3 iliyobaki ya FY 2022/23...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wadau hilo ndilo Gari la Mkuu wa Mkoa najaribu kujiuliza Je GARI la KATIBU MKUU na WAZIRI lipoje? KWELI UCHUMI WETU UMEPANDA SANA. Mchana mwema.
19 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote walikuwa wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Hawa wahariri kwa sasa wanalamba asali haswa chini ya waziri wa habari na utangazaji Nape Nnauye, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyefahamu jambo hili. Watu hawa wameuza utu wao kwa...
48 Reactions
258 Replies
14K Views
Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo...
1 Reactions
7 Replies
950 Views
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM. CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa. Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe...
22 Reactions
132 Replies
5K Views
Kwa vile mwenye mamlaka anaelekea kuanza kuruhusu mchakato wa katiba mpya akili yangu inaanza kuelekea kuwaza nini nipendekeze kiwe kwenye katiba mpya. Kwa sasa mapendekezo yangu ni haya machache...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame. Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada. Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom