saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,173
- 6,154
Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri kutoka nyanda za juu kusini. Yule mbunge alitaka kulazimisha wale wanaoitwa walimu waliojitolea kuajiriwa ktk ajira iliyotangazwa hivi punde.
Waziri wangu mnyenyekevu Angela Kairuki alitoa maelezo mazuri sana na yenye kutosheleza kuwa criteria za ajira ni 3, kwanza mwaka mwombaji aliomaliza chuo na wataanzia 2015, pili kwa sekondari masomo ya sayansi (Physics, Chemistry and Biology), Hisabati, English na English Literature, mwisho ni walemavu ambao watakuwa ni 3%. Wakati anatoa maelezo yule mbunge alivyokuwa hana adabu akawa kama amamkebehi kwa vitendo waziri.
Shida ikaja kwa spika, huyu spika wa sasa ni much know au "Mr. Know All" Akaanza kama kumlazimisha waziri kuwa wale wanaoitwa walimu waliojitolea waajiriwe. Swali huku kujitolea kuko ktkt mfumo upi rasmi? Kama ni mfumo rasmi hizo nafasi zilitangazwa? Au watu wameitana kindugu. Spika mwache waziri afanye kazi yake we inaoneka lenu moja na yule mbunge kwamba mna watu wenu mnataka kuwaingiza.
Sasa spika nawe unajiingiza ktkt dhuluma kama hiyo?. Kama unataka kazi ya uwaziri achia uspika usubirie uteuzi wa Rais. We kazi yako ni kusimamia vikao siyo kuwaelekeza mawaziri. Acha kuwachanganya mawaziri wetu. Mbunge akitaka hoja yake we unatoa majibu, who are you?