CHADEMA yataka Serikali iendelee kutoa Mikopo kwa Vijana na Wanawake hadi June, 2023!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,997
142,018
Naibu Spika wa Bunge la Wananchi la CHADEMA Mh. Kihamba amemtaka Waziri mkuu asitishe Zuio la mikopo ya Vijana Wanawake na Walemavu kwa kipindi kilichobaki cha miezi 3 iliyobaki ya FY 2022/23.

Kihamba amesema hayo kwenye Mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari, Makao makuu ya CHADEMA Ufipa St Kinondoni Shamba.

Source: Star TV
 
Back
Top Bottom