Kamati za Kudumu za Bunge ndio jicho la wananchi kwenye kuisimamia Serikali na tumeona kila leo zinafanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo na kutoa pongezi kwamba kwa kazi nzuri zinazofanywa...
Hivi ni kweli mpaka leo umekosekana ufumbuzi wa suala la umeme, nchi nzima na kiza kimetanda, au mama hajui au anaongopewa? Mpaka imejidhihirisha uwanjani mechi za kimataifa haoni? Hizi kelele...
Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake.
Honestly, katika kipindi cha uongozi wake...
Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda...
MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa...
MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo...
Kwa wale Waislamu inatakiwa Muunge Mkono pendekezo la Siku ya Ijumaa kujumuishwa kama public holiday yaani Weekend hakuna kufanya kazi.
Kwa nini Jumapili na Jumamosi ni Weekend na sio Ijumaa...
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.
Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa...
Habari wana uchumi wa JF!
Kama somo linavyosema hapo juu..
Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge.
Kufikia...
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu
Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko...
MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA.
Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana...
Meya mstaafu wa Ubungo mh Jacob Boniface amesema kwenye Uchaguzi wa Chadema kura yake kwa nafasi ya Mwenyekiti Taifa atampa mwenyekiti wa sasa mh Freeman Mbowe
Bonny amesema yeye atagombea Ubunge...
Hakika Watumishi wa Umma miaka yote Waliaminishwa kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kuwasimamia kupata HAKI na STAHIKI zao SERIKALINI.TUCTA wamekuwa Wakichukua MICHANGO ya Watumishi wa UMMA lakini Haina...
BILIONI 230 ZIMETOLEWA KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA SHULE ZA MSINGI KUPITIA MRADI WA KUIMARISHA UJIFUNZAJI KATIKA ELIMU YA AWALI NA MSINGI (BOOST)
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...
Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500.
Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo...
Ikiwa CAG huchunguza matumizi Kwa taasisi za Serikali Kuu na Serikali za mitaa (halmashauri) kisha huleta ripoti bungeni. Je huchunguza matumizi katika Bunge letu tukufu? Hawa waheshimiwa...
Mkuu wa wilaya ya Arusha Felisian Mtehengerwa amesema kitendo cha wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika jiji la Arusha kuandamana usiku kinachochewa na wanasiasa wenye nia ovu ya kuihujumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.