Una uhakika haujalewa wanzuki?Hebu tikisa huo mbichwa wako!Mpfyuuuuuuuuuuuu zake na unafiki wake
2025 simpi kura yangu wala ukawa yeyote.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu ukawa .pokeeni Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu tena.
Tarehe 17 March Mungu siku ya ukombozi wa pili kwa Watanzania. Mungu wa mbinguni alitupigania.Maisha yapo muruwa kabisa kwasababu
Watu hawatekwi tena
Hawauliwi
Hakuna kubambikiziana case kishamba
Hakuna kufokeana hovyo
Kuna uhuru wa Habari
Watu ni wamoja na hawagawanywi kwa makabila wala vyama isipokuwa nyie wachachache
Mungu alitutendea wema sana
Unadhani kila mtu anakunywa matakataka unayokunywa wewe Mpfyuuuuuuuuuuuu.Una uhakika haujalewa wanzuki?Hebu tikisa huo mbichwa wako!
Tumewaachia nyinyi waabudu Magufuli ndiyo mpige kelele za kutetea legacy ya marehemuBila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana!
Hamna kero kabisa,
Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
Unatetemeka nini sasa?Unadhani kila mtu anakunywa matakataka unayokunywa wewe Mpfyuuuuuuuuuuuu.
Pita kule usiniletee unajisi!
Hata yeye hakutambuiMpfyuuuuuuuuuuuu zake na unafiki wake
2025 simpi kura yangu wala ukawa yeyote.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu ukawa .pokeeni Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu tena.
Losers wa kisiasaUnatetemeka nini sasa?
Hahaha naamin ushajaza hz takataka kichwaniUnadhani kila mtu anakunywa matakataka unayokunywa wewe Mpfyuuuuuuuuuuuu.
Pita kule usiniletee unajisi!
Pita kule mbali sanaHata yeye hakutambui
Ukawa kwa kulialia ?Hahaha naamin ushajaza hz takataka kichwani
Hakajielewi hako.Kanaandika kama kanatema ugoro.Hata yeye hakutambui
Yupo Kigoma. Uwe unafuatilia habari.Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana!
Hamna kero kabisa,
Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!