Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni Mtanzania. Nimezaliwa na kukulia upande wa Tanzania Bara, yaani, Tanganyika. Nimeshamsikia zaidi ya mtu mmoja akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar. Lakini sijawahi kumsikia mtu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru,sifileo simpendi Baba yangu hata akifa kama nitakuwa hai stoshiriki mazishi yake na hata nikishiriki ntamZika Kwa hasira. Baba wa sifi Leo yupo hai, ni...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wafanyakazi wanakatwa asilimia fulani ya mshahara kuchangia Chama cha Wafanyakazi cha sekta husika Hiyo michango huwa inafanya Kazi gani? Je, ukiondoa Vitega Uchumi walivyorithi kutoka Jumuiya...
0 Reactions
4 Replies
626 Views
Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu. Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari...
3 Reactions
11 Replies
820 Views
Ikiwa ni miaka 13 tangu Kenya iwe na katiba mpya bado katiba hiyo inaonekana kushindwa kutatua mambo ya msingi, haya ni baadhi 1. Ufisadi na Rushwa Kenya bado inaendela kuwa mojawapo ya mataifa...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nukuu ya Rais Samia siku ya Mei Mosi 2023: "Wiki chache zilizopita niliwaita wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi na nashukuru walinielewa, safari hii hawajatoa lugha kali." Vyama vya wafanyakazi...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Je haya ndio wapenda mbio hizo mnayoyataka ?
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Moja ya malalamiko ya wafanyakazi wa umma ni hili la kuondolewa Kwa annual increment na serikali, ambayo ipo kisheria huku huku ikishindwa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma, inayokidhi hali...
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Safari yangu ya kukaa hapa Kenya inahitimishwa leo rasmi, kesho narejea Tanzania. Wagombea wote wakubwa ndani ya Kenya wana tuhuma za ufisadi kwa Raila na Ruto. Hivyo ajenda ya ufisadi haikuwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Msikilize huyu mwamba akimpiga chini mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara. USSR
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria...
37 Reactions
95 Replies
8K Views
Leo ilikuwa ni siku ya Wafanyakazi dunia nzima. Hapa Tanzania sherehe hii iliadhimishwa Mjini Morogoro na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Sherehe kama ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mikutano hii itaambatana na ule Mpango wa kisasa wa Chadema Digital
0 Reactions
3 Replies
467 Views
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza...
2 Reactions
8 Replies
841 Views
DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete...
1 Reactions
0 Replies
478 Views
Mdogo wangu wa mtata RPC Sophia Jongo alipewa u-RPC na IGO Simon Sirro kipindi cha Rais Magufuli na tangu muda huo hajawahi kuondolewa yupo mgangari. Tofauti na ma-RPC wengine ambao hufanya press...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya...
1 Reactions
6 Replies
609 Views
Mwaka wa nne mfululizo, ni matumaini yetu tutashusha pumzi baada ya Mgeni Rasmi, Rais wa JMT Dk. John Magufuli kusema neno. Leo tunasherekea siku ya wafanyakazi duniani iliyoanzia huko Chicago...
22 Reactions
910 Replies
88K Views
Back
Top Bottom