jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 392
- 743
Habari wana uchumi wa JF!
Kama somo linavyosema hapo juu..
Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge.
Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na imeendelea kuwepo hadi sasa.
Ningependa kujua nini kinasababisha na nini kifanyike,,,
napitia comment