Wanabodi,
1. Niliwahi kusema humu, kuwa kichaa, mtu sio lazima mpaka aokote makopo!, unaweza kumbaini fulani ni kichaa, kwa kumsikiliza tuu, hata kwa kumuangalia facial expressions wakati...
Haya ni mambo ambayo yamezingatiwa kwa nchi zote zilizoendelea iwe West, China, Uarabuni n.k
1. Kuheshimu haki za kumiliki mali binafsi. Ni vigumu kuendelea kama raia katika wanaweza kuchukuliwa...
Waziri Ndumbaro aliunda tume ya Mwakyembe mwaka jana kutafuta suluhu ya matokeo mabovu Law School.
Ikumbukwe (kipindi hicho) wadau mbali mbali walilivalia njuga vilivyo suala la matokeo mabovu...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023.
Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa Sasa Tanzania ndio Habari ya mjini katika suala Zima la Kasi ya ukuaji wa uchumi, Tanzania imeviteka vyombo na Taasisi mbalimbali za kimataifa juu ya kufanya vizuri...
Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini.
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana...
Pasi na uthubutu wa Hayati Magufuli leo hii miradi ile isingekuwa ikitekelezwa kwa namna mashoga zao na wazungu walivyokuwa wakiibeza kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.
Ajabu leo kila...
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na...
MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024...
Nimetafakari sana na kuiangalia kwa makini Mifumo ya Siasa za Tanganyika hasa CCM, Chadema na ACT Wazalendo Vijana hawajui Walitendalo, Wanaburuzwa tu
Watu wenyewe ndio hawa hawa yule wa CCM...
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.
Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili.
Pia Dr. Mpango amewataka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo...
Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .
Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti...
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.
Utasikia mara yule kawa...
Spika mstaafu wa Bunge, Mzee. Pius Msekwa, amesema maridhiano ya kisiasa vya yaliyofanywa na serikali dhidi ya vyama upinzani, yamedumisha utulivu na kuondoa migogoro ya kisiasa huku akisisitiza...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo tarehe 31 Januari, 2023 kwenye Mkutano wa Kumi, kikao cha kwanza.
HOJA YA SEHEMU ZA KUSUBIRI KUWAONA WAGONJWA
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Nassor Kisangi...
Yaani mkaguzi alikagua na kukupatia ripoti ya ukaguzi iliyoshiba Kila aina ubadhilifu, na mkaguzi aliyasemayote mbele yako nasi wanaanchi tukifatilia mubashara.
Leo tunasikia yakuwa unachunguza...
Miradi ya World Bank hapa nchini ni mingi, lakini ina walakini.
Miradi hii inawekewa masharti ambayo serikali huwa inayakubali bila kupitia vipengele vya utekelezaji miradi yenyewe.
Hi ina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.