Watumishi wa umma piganieni haki zenu wenyewe, TUCTA ipo kwa ajili ya michango yenu na kuitetea Serikali

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Hakika Watumishi wa Umma miaka yote Waliaminishwa kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kuwasimamia kupata HAKI na STAHIKI zao SERIKALINI.TUCTA wamekuwa Wakichukua MICHANGO ya Watumishi wa UMMA lakini Haina Mchango wowote kwa Hao Watumishi zaidi ya Kutengeneza TSHIRT za MEI MOSI.

Ukitaka kujua TUCTA hii ina subiri Kila MEI MOSI wanakuja na HOTUBA NDEFU ya Kuomba Serikali IONGEZE Mishahara tena inataja KIWANGO KIKUBWA huku ikijua HAITAWEZEKANA ili WATUMISHI wa UMMA waamini kuwa INAWAPIGANIA.

Miaka 6 ya UTAWALA wa MAGUFULI TUCTA imekuwa inafanya hivyo kila MEI MOSI na mpaka leo AWAMU ya RAIS SAMIA mambo ni yale yale binafsi sasa NAAMINI Kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kukusanya MICHANGO yenu na KUITETEA SERIKALI.

Kwani pamoja na SERIKALI kutowapa STAHIKI zao WATUMISHI wa UMMA bado TUCTA ipo KIMYA haijawahi KUICHUKULIA HATUA ZOZOTE SERIKALI bali inasubiri MEI MOSI ije na HOTUBA NDEFU isiyo na TIJA kwa WATUMISHI.

USHAURI kwa WATUMISHI wa UMMA ni wakati wenu wakuamua KUJITOA TUCTA na kuamua KUJIPIGANIA wenyewe HAKI ZENU Hii TUCTA ipo kwa ajili ya kuitetea SERIKALI Sio WATUMISHI
 
Ile Bendera yenye jembe na nyundo jembe kapewa msomali nyundo imetoswa. Ahahaa!!

Msifanye makosa 2025 ndugu zangu.
 
Waziri mchengerwa ni waziri pekee aliye wapigania watumishi kwa Moyo wote na hatimaye matumda yake yakaonekana.

Mawaziri wetu wakiwa na hofu ya Mungu basi watawatendea haki na kuwahurumia walio chini.
 
Hakika Watumishi wa Umma miaka yote Waliaminishwa kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kuwasimamia kupata HAKI na STAHIKI zao SERIKALINI.TUCTA wamekuwa Wakichukua MICHANGO ya Watumishi wa UMMA lakini Haina Mchango wowote kwa Hao Watumishi zaidi ya Kutengeneza TSHIRT za MEI MOSI.

Ukitaka kujua TUCTA hii ina subiri Kila MEI MOSI wanakuja na HOTUBA NDEFU ya Kuomba Serikali IONGEZE Mishahara tena inataja KIWANGO KIKUBWA huku ikijua HAITAWEZEKANA ili WATUMISHI wa UMMA waamini kuwa INAWAPIGANIA.

Miaka 6 ya UTAWALA wa MAGUFULI TUCTA imekuwa inafanya hivyo kila MEI MOSI na mpaka leo AWAMU ya RAIS SAMIA mambo ni yale yale binafsi sasa NAAMINI Kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kukusanya MICHANGO yenu na KUITETEA SERIKALI.

Kwani pamoja na SERIKALI kutowapa STAHIKI zao WATUMISHI wa UMMA bado TUCTA ipo KIMYA haijawahi KUICHUKULIA HATUA ZOZOTE SERIKALI bali inasubiri MEI MOSI ije na HOTUBA NDEFU isiyo na TIJA kwa WATUMISHI.

USHAURI kwa WATUMISHI wa UMMA ni wakati wenu wakuamua KUJITOA TUCTA na kuamua KUJIPIGANIA wenyewe HAKI ZENU Hii TUCTA ipo kwa ajili ya kuitetea SERIKALI Sio WATUMISHI
Tucta ni majizi makubwa Sana! Majambazi Sana! Na mtoto wao cwt ni majambawazi hatari Sana! Washenzi wakubwa Sana! Ni wa kufutwa tu!
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu, TUCTA hawana influence yoyote pale serikali inapokuwa imeamua.......madaraja yanasimama, increment zinaondolewa, kikokotoo kinabadilishwa TUCTA wapo tu wanakusanya michango.
 
Waimu sikio la kufa. Wameam iwa mara kadhaa kuwa wanahitaji utashi wa kila mmoja wao kuadibisha chama chao. Nahisi tushwa ya ndani kwa inawamaliza.
 
Hakuna awamu yoyote iliyo watendea watumishi wa umma mambo mazuri kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia.

Ameweza kurudisha tabasamu na matumaini kwa watumishi ndani ya miaka 2 tu baada ya miaka 5 ya maumivu makali, sipati picha watumishi watakuwa wapi baada ya miaka 10 ya utawala wa SSH.... hakika watakuwa wanaheshimika na kuthaminiwa kwenye jamii.
 
Weka phone no ! Chawa

Mkuu izo dhambi zingine msiwe mnazitafuta kwa bidii namna hii. Hata kama unataka kusifu Tafuta kitu cha maana ndo usifu basi .
 
Back
Top Bottom