..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza...
DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete...
Mdogo wangu wa mtata RPC Sophia Jongo alipewa u-RPC na IGO Simon Sirro kipindi cha Rais Magufuli na tangu muda huo hajawahi kuondolewa yupo mgangari.
Tofauti na ma-RPC wengine ambao hufanya press...
Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg,
Naskia alianza kuonekana mbaya...
Mwaka wa nne mfululizo, ni matumaini yetu tutashusha pumzi baada ya Mgeni Rasmi, Rais wa JMT Dk. John Magufuli kusema neno.
Leo tunasherekea siku ya wafanyakazi duniani iliyoanzia huko Chicago...
Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo.
Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA...
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu
Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa...
Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Upendo Peneza amesema katika kushughulikia ripoti ya CAG hana Imani na Mwenyekiti wa LAAC na yule wa PAC kwa sababu wako bungeni kinyume cha Katiba.
Peneza amesema...
Vyama vya upinzani havijaonekana kwenye Sherehe za Mei mosi Morogoro hata vile vikubwa Chadema na ACT wazalendo
Halafu 2025 mtasema CCM inaiba kura hasa wewe Devotha mshindani wa Abood
Rais...
Yamekuwa na nadhani yataendelea kuwa maoni yangu kwamba kubadili mitaala ya nchi ni moja ya mambo makubwa kabisa yanayoweza kuacha alama kwenye vizazi vyetu, na hivyo wakati Serikali inapofanya...
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu.
Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na...
Wataalam wa Hesabu naomba msaada wenu kuhusiana na Hesabu za Seti.
Seti mbili zikiungana unakuwa ni Muungano (Union) na vile Vitu vinavyohusika na Seti zote mbili kwa kufanana ndio Ungano.
Je...
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 16 leo Mei 2, 2023.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali ipo kwenye hatua ya Mwisho ya kufungua Soko la Parachichi...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi...
Mh waziri
Elimu inabidi kufanyiwa maboresho katika maeneo muhimu kama haya
Wazazi wanabidi kushirikiana na walimu katika kuandaa ustawi bora wa watoto wao ikiwemo swala la shule ambazo ni day...
Mswahili alisema kuwa muda mara zote huwa ni hakimu mzuri.
Msanii Kipanya leo ametuletea mawazo na matamanio ya wabunge walioingia bungeni kwa hisani.
Wameanza kuweweseka kila kalenda inavyozidi...
MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji...
Waziri WyEST, yawezekana kanuni, taratibu na mifumo ya mitihani yetu ya Kitaifa haiwezi kufanya mtu aliyepata matatizo akapa namna nyingine ya kufanya kwa wakati hayupo sawa kuifanya mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.