Nimewaza sana ukubwa wa Hekari moja na milioni 16 yaani 70 kwa 70 utumie milioni 16 kusafisha eneo hilo linakuwa na nini hasa.
Mimi niliwahi kununua ekari 50 mkoa wa pwani maeneo ya makata pali...
Waziri wa Ardhi Dr Mabula amesema hakuna mtu aliyemfukuza mh Mwita Waitara kwenye kikao
Ufafanuzi wa Waziri unafuatia madai ya mh Waitara aliyoyatoa kwa Waandishi wa Habari jana kwamba yeye na...
Nilimsoma mkuu Pohamba baada ya Dr Tulia kutangaza kuomba jimbo ligawanywe akisema yawezekana Dr Tulia na Sugu wameshakubaliana kugawana Jimbo ila Wafuasi wao hawaelewi
Leo naunga mkono Hoja ya...
Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa...
Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi, tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya...
Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi...
JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira.
Kauli hiyo aliitoa bungeni...
Nimeona clip police wakifundisha kwa vitendo sehemu ambazo watoto hawatakiwi kuguswa yaani matakoni, mbele pale makao makuu na kwenye saa 6 kifuani.
Ufundishaji huu kwangu mimi ni uhuni tu kwa...
Wahenga walisema UKISTAAJABU ya Mussa UTAYAONA ya FIrauni. KUMBE Huko Kuona ni zaidi ya kustaajabu maana ni sawa UPUMBAVU wa kuabudu Wachungaji. Sijui kama naeleweka?
Nikumbushe miaka ile ya...
Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni...
Waitara ametoka nje ya bunge baada ya kufanyiwa ubabe na wenye mamlaka.
Aliikimbia cdm kwa kupewa vipande vya manemane na kudanganywa na jiwe.
Leo hii ameanza kulialia na kufanyiwa ubabe na rc...
Ushauri kwa Ndugu yetu Ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya.
Ndefu Ila nafupisha kwa Kadri ya uwezo ......Bro.wangu Anasoma nchi moja hapo ulaya!
Huyu Ni brother Alienda Europe 2020..alienda...
'TEGESHA' YA NYUMBA ZA MWITA WAITARA NA NDUGU ZAKE KIKWAZO FIDIA WANANCHI MGODI NORTH MARA
Unaambiwa walivyojua kuna fidia wakajenga nyumba haraka, Mwita akachukua mikopo bank akakimbilia...
WIZARA YA MAJI YAOMBA BAJETI YA BILIONI 756
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akisoma hoja ya bajeti Bungeni amesema Wizara ya Maji imeliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi...
Jambo Jambo?
Kwa habari za chinichini zilizonifikia kutoka chanzo muhimu ninacho kiamini ni hizi hapa.
——————————————————————-
Unaambiwa ATCL Yafikiria kuondoa ndege zake ndogo kama bombadier na...
"If you put bananas and money in front of monkeys, monkeys will choose bananas because monkeys do not know that money can buy a lot of bananas. In reality, if you offer a job and business to...
Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.