Mradi wa Kilimo wa Waziri Bashe Dodoma ni Utapeli

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.
4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia.

Vigezo vinavyo chochea rushwa

1. Kijana anapewa ekari 10 for free pamoja na hati, shamba linadafishwa na anaruhusiwa kukopa bank kwa kutumia hiyo hati ya ekari 10. Hivyo vijana wanacho taka ni kuwa na hiyo ekari 10 na sio kufanya kilimo.

Wazo mbadala.. Vijana walitakiwa kuja na kukodi (makato wakati wa mavuno) hayo mashamba ili kutoa fursa kwa vijana wengine pale kijana anapo shindwa kuendelea na kilimo.

2. Uchaguzi wa vijana hauna uwazi

Vijana walitakiwa kuleta mawazo yao na sio kuandika barua tuu .. wakitakiwa wafanyiwe interview na wanataaluma na wakulima wenye uzoefu pamoja na taasisi za kifedha ili kupata vijana makini na wenye malengo ya udhubutu kwenye kilimo.

3. Mafunzo miezi 4

Hii inaonyesha ni danganya toto, kwenye nchi yenye vijana zaidi ya mil 20 wanao weza kuwekeza kwenye kilimo, kuwaweka vijana 200 kwenye kambi ya miezi 4 eti wataleta mapinduzi ya kilimo ni utapele kama sio utakatishaji wa fedha.

Screenshot_20230412-175108_Google.jpg
 
Tanzania kila kitu ni usanii.
Hakuna kinaanza kinaendelea Kwa manufaa. Ni uchakachuaji mtupu.
Kwanza hiyo eneo Ina muundo wa umwagiliaji?
Nguvu nyingi, pesa nyingi baadae wataukimbia.
 
Tulikubaliana. Waache wapoteze muda. Baada ya mwaka. Kwa jinsi tunavyojua kilimo. Kinaweza kukupasua, ukakimbia. Kinaweza kukupa hela ukakimbia vle vile .tutaenda kuchukua vifaa vile kama drip, pump, generators hata mbolea walizochezea tutaziweka store zetu. Nawakilisha
 
Kama ni kweli uyasemayo basi Watanzania hawa bado wamelala, ila ipo siku watazinduka usingizini ila kwa sasa bado, ila yaja wala hakuna aijuaye.
 
1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochavuliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.

Vigezo vinavyo chochoa rushwa

1. Kijana anapewa ekari 10 for free pamoja na hati, shamba linadafishwa na anaruhusiwa kukopa bank kwa kutumia hiyo hati ya ekari 10.

Wazo mbadala.. Vijana walitakiwa kuja na kukodi hayo mashamba ili kutoa fursa kwa vijana wengine pale kijana anapo shindwa kuendelea na kilimo.

2. Uchaguzi wa vijana hauna uwazi

Vijana walitakiwa kuleta mawazo yao na sio kuandika barua tuu .. wakitakiwa wafanyiwe interview na wanataaluma na wakulima wenye uzoefu pamoja na taasisi za kifedha ili kupata vijana makini na wenye malengo ya udhubutu kwenye kilimo.

3. Mafunzo miezi 4

Hii inaonyesha ni danganya toto, kwenye nchi yenye vijana zaidi ya mil 20 wanao weza kuwekeza kwenye kilimo, kuwaweka vijana 200 kwenye kambi ya miezi 4 eti wataleta mapinduzi ya kilimo ni utapele kama sio utakatishaji wa fedha.View attachment 2585484
Nilijua tangu awali
 
Wewe Mpango wako Wenye maana ni upi kabla ya kubeza na kuja na mapovu?
 
Tanzania kila kitu ni usanii.
Hakuna kinaanza kinaendelea Kwa manufaa. Ni uchakachuaji mtupu.
Kwanza hiyo eneo Ina muundo wa umwagiliaji?
Nguvu nyingi, pesa nyingi baadae wataukimbia.
Mwaka Jana waliokuja na gear ya mbegu za alzet,sasahivi hata hawazungumzii
 
1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.
4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia.

Vigezo vinavyo chochea rushwa

1. Kijana anapewa ekari 10 for free pamoja na hati, shamba linadafishwa na anaruhusiwa kukopa bank kwa kutumia hiyo hati ya ekari 10. Hivyo vijana wanacho taka ni kuwa na hiyo ekari 10 na sio kufanya kilimo.

Wazo mbadala.. Vijana walitakiwa kuja na kukodi (makato wakati wa mavuno) hayo mashamba ili kutoa fursa kwa vijana wengine pale kijana anapo shindwa kuendelea na kilimo.

2. Uchaguzi wa vijana hauna uwazi

Vijana walitakiwa kuleta mawazo yao na sio kuandika barua tuu .. wakitakiwa wafanyiwe interview na wanataaluma na wakulima wenye uzoefu pamoja na taasisi za kifedha ili kupata vijana makini na wenye malengo ya udhubutu kwenye kilimo.

3. Mafunzo miezi 4

Hii inaonyesha ni danganya toto, kwenye nchi yenye vijana zaidi ya mil 20 wanao weza kuwekeza kwenye kilimo, kuwaweka vijana 200 kwenye kambi ya miezi 4 eti wataleta mapinduzi ya kilimo ni utapele kama sio utakatishaji wa fedha.View attachment 2585484
Utapeli wa kiwango cha juu sana na pesa ziliotolewa zitayeyuka bila mtu yeyote kuhoji kwa mafanikio zilikoenda
 
Nenda ukanye, tawaza kisha ukalale. Sijaona hoja kwenye andiko lako zaidi ya wivu.
 
Kuna vijana tayari wako field muda ni hao walitakiwa kuwezeshwa na si hawa wa eka 10 na hati hapohapo.
 
Utapeli wa kiwango cha juu sana na pesa ziliotolewa zitayeyuka bila mtu yeyote kuhoji kwa mafanikio zilikoenda
Unadhani Benki ni wajinga kama wewe? Eti fedha zitatoweka? Kwa hiyo unaona wakitoa uso tu wanaondoka na hiyo hela!!

Haya mambo hamjuyajuwa, Hussein Bashe ameyaleta, lazima kuwe na mahali pa kuanzia. Wameanza hao 800 wakifanikiwa kama pilot then mwaka unaofuata wanaongezeka wengine.
 
Back
Top Bottom