Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020.
Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA...
UPDATE: MAY 2023
Hii thread ni ya tangu Mwaka 2014, miaka 9 iliyopita hadi leo 2023 barabara hali ni mbaya, pamoja na ahadi ya kuweka lami kipande hicho cha kilomita 21, ila hadi leo hakuna...
UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya...
Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na...
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo, hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .
Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa ...
Baadhi ya watu wanaoishi na ulemavu wamebahatika kuwa Wabunge kwy Bunge la JMT.
Tumeona walemavu wa viungo vya mwili wakiwa Wabunge vivyo hivyo kwa walemavu wa macho na masikio isipokuwa tu...
Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa.
Tatizo la vijana wengi...
Inavyoonekana ziara za Tundu Lissu mikoani zimekuwa kama zile Kampeni zake za 2020. Hakuna machinary ya Chama inayoambatana nae. Sio CHADEMA media wala uongozi wa Chama.
Je Lissu anaanza kupitia...
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu.
Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI...
Habari zenu wanaharakati..
Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya.
Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria...
Vijana wangu Wameingia Kigoma leo na wamepata Shida kupata Hotel au Guest house ya kukaa wiki nzima kwa madai zimeshalipiwa Chadema
Inadaiwa Chadema Wana mkutano hapo kesho kutwa kwahiyo wageni...
Hili suala kuhusu fidia ya hao wananchi wa eneo husika ukilitazama kwa haraka haraka kupitia majibu ya serikali ni kama jepesi sana, lakini kiukweli si jepesi kihivyo, huko mbeleni lita backfire...
Nimewaza sana ukubwa wa Hekari moja na milioni 16 yaani 70 kwa 70 utumie milioni 16 kusafisha eneo hilo linakuwa na nini hasa.
Mimi niliwahi kununua ekari 50 mkoa wa pwani maeneo ya makata pali...
Waziri wa Ardhi Dr Mabula amesema hakuna mtu aliyemfukuza mh Mwita Waitara kwenye kikao
Ufafanuzi wa Waziri unafuatia madai ya mh Waitara aliyoyatoa kwa Waandishi wa Habari jana kwamba yeye na...
Nilimsoma mkuu Pohamba baada ya Dr Tulia kutangaza kuomba jimbo ligawanywe akisema yawezekana Dr Tulia na Sugu wameshakubaliana kugawana Jimbo ila Wafuasi wao hawaelewi
Leo naunga mkono Hoja ya...
Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa...
Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi, tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya...
Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.