Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,173
- 27,223
Baada ya kujificha muda mrefu hatimaye Lissu ameamua kumwaga mboga kwa kuweka wazi msimamo wake, huu msimamo haujapendwa na viongozi wenzie ndani ya chama.
Mara nyingi nilikuwa nikiwaeleza hapa Ila mlikuwa mnakataa, sasa mambo yapo hadharani.
Lissu Amekengeuka, Lissu anasema viongozi wenzake wanachekacheka kuambiwa watapewa ubunge, Lissu anaenda mbali na kuhoji kama wanatumia akili sawasawa(lugha nyepesi ni wendawazimu tu watakubali). Nitaweka video ya aliyosema ili msije kukataa kuwa hajasema hivyo
Hili ni wazi kabisa lissu amelenga kupinga na kukataa kabisa jitihada za mwenyekiti wake kuhusu maridhiano na serikali. Hapa sasa ni wazi lazima chama kikae kikao na kuchukua hatua. Nimeabiwa na mtu fulani kuwa hili jambo limewaacha mdomo wazi na bado hawajui mwenyekiti anafikiria nini kwa sasa ndio maana nao wamekaa kimya kusoma upepo.
Kama mnafatilia vizuri mtaona hakuna kiongozi wa chadema aliyepost wala kuogngelea kabisa hii hotuba ya Lissu inayopingana na maridhiano na kumnanga mwenyekiti. Wamekaa kimya, na hapo ndio uone kuwa nao ni waoga. Leo wameufyata kwa kuhofia huenda mwenyekiti akachukua hatua.
Swali kwa Lissu, Kama wewe hupendi maridhiano kwa nini.unataka kila mtu asipende? Kama wewe hutaki ubunge wa kupewa kwa nini unalazimisha na wenzie wakatae? Na kwanini umekomalia sana ubunge wa kupewa 2025? Je, hayo pekee ndio yapo kwenye maridhiano?
Lissu amekengeuka, amewageuka wenzake. Mwenyekiti na watu wake wapo kwenye majadiliano nini kifanyike. Muda utasema.