Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 159
- 273
Andiko la kumuombea heri katika uongozii mzuri katika wizara hii ya michezo, kwanza huyu mama Kama vile wizara imemkubali hivi au ndo vile ni mimi namuona ni Miongoni mwa viongozi Wenye uwezo wa kufit na wizira nyingi kiutendaji mfano tunamuona pia Mh George Simbachawene pia huo uwezo wa kiungozi au Hawa ndo tunaita born leaders.
Kwanza mwana mama huyu ni daktari wa Sheria kutoka chuo Kikuu Mzumbe, bachelor yake akiwa ameichukulia apo Moscow Russia [emoji635] [emoji3] Katika chuo cha peoples friendship university kutoka mwaka 1991 had 1994.
Amewahi kufanya kazi Russia Bank Kama teller 94 had 95 baada ya kumaliza masomo. Amefanya kazi Barclays Bank, uk Kama teller, law firm uk Kama secretary, legal officer Wilaya ya iringa, coca cola company mwaka 1996 had 1997 Kama cashier.nk
Dkt Pindi kaingia rasmi kwenye siasa mwaka 2010-2015 Kama mbunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania [emoji1241]. Mwaka huo huo alikua mwenyekiti wa Kamati ya sheria, Katiba na utawala bora hadi mwaka 2014.2015 Dkt pinda chana hakufanikiwa kurudi bungeni na 2016 aliteuliwa kua katibu wa uhusiano wa kimataifa wa chama cha mapinduzi nafasi aliyidumu kwa mwaka mmoja tu.
Mwaka 2017 UNEP & UN HABITAT walimteua kua muakilishi wa Kudumu nchini Kenya. Mwaka 2018 Hayati Rais John Pombe Alimteua Daktari Pinda chana kua balozi nchini Kenya akiwakilisha Tanzania hadi mwaka 2020 Aliporudishwa bungeni na Rais Dkt Samia Hasan Kama mbunge wa viti maalumu na kupewa wizara ya ofisi ya Waziri mkuu uratibu, sera na Bunge, Kisha akahamishwa wizara ya utalii na sasa utamaduni na michezo.
Amewahi kua mjumbe wa bodi mbali mbali za vyuo Kama muhimbili, mwalimu Nyerere na chuo Kikuu cha Mbeya sayansi na tekinolojia
Ok huyo ndo Hon Dr ambassador Pindi Hazara Chana Mungu amuongoze ktk Utendaji wake.