Bashe Alipendelea kanda ya ziwa mahindi ya serikali

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,853
Reaction score
35,614
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua.

Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo.

Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake.

Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake.

Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike, adhibitiwe haraka sana.
 
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua,
Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo,
Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake,
Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake,
Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike , adhibitiwe haraka sana.
Hebu tukumbushe vizuri, ni Kagera ipi ambayo imepokea mahindi ya serikali ya bei nafuu?
 
Mshaanza kubaguana?
Hao wote uliotaja si ndugu zako hao.
Pumbavu sana
 
Bashe ni mtanzania msomali sio msukuma, na hana huo ushamba wa ukabila kama mwendazake

Hiyo mikoa unayosema ina watu wengi masikini ndiyo maana
 
Wew naye hujui chochote, inaonekana ni mtu wa rangi za upinde WA mvua lakin pambana endelea kuchafua sijui kichwani umeweka nini
 
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua.

Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo.

Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake.

Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake.

Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike, adhibitiwe haraka sana.
Toka lini msomali akawa kingpin wa watu wa kanda ya ziwa?
 
Bashe si msukuma,wala hajawahi kuwa msukuma hata mara moja.

Bashe asili yake ni msomali mwenye uraia wa Tanganyika.
 
kumbe kigoma na tabora ni kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom