RC Mara: Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,016
142,056
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote.

RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge badala ya kuwaelimisha Wananchi yeye anawapotosha makusudi na kwa maslahi yake Binafsi.

Source: Clouds Media
 
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote

RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge badala ya kuwaelimisha Wananchi yeye anawapotosha makusudi na kwa maslahi yake Binafsi

Source: Clouds Media
Jo rafiki yako huyo mnafanana mno tabia (uzushi na uongo)
 
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote

RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge badala ya kuwaelimisha Wananchi yeye anawapotosha makusudi na kwa maslahi yake Binafsi

Source: Clouds Media
Wanaccm wote ndiyo tabia yao. Wazushi na Waongo.
 
Mwita Waitara hajaacha Tabia za Chadema

JK: Chadema ni kiwanda cha Uwongo!
Kiwanda cha uongo lakini kinazalisha viongozi na wananunuliwa kwa mamilion
Waitara
Cecy
Morel
Mashinji
Nasari
Hawa wote wameunga mkono juhudi kwa mamilioni ya walipa kodi
 
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote

RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge badala ya kuwaelimisha Wananchi yeye anawapotosha makusudi na kwa maslahi yake Binafsi

Source: Clouds Media
Haa?Sasa kile kilio na manung'uniko ilikuwa ni urongo?🤔
 
Waitara alikuwa usajili wa kipindi cha JIWE, kocha kabadilika anaona kabisa msimu ujao hapati namba, kucheka kupokezana, wanasema watoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom