Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Yule Bingwa wa Kemia aliyeshutukia Fumigation haiwezi kuua virusi vya Corona na badala yake akashauri watu wajifukize, hali iliyopelekea vifo nchini Tanzania kuanzia Jumatano ya wiki...
67 Reactions
174 Replies
21K Views
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Utaratibu uliotumiwa na Mkutano mkuu wa CCM Kata ya Kiseke Ilemela mkoani Mwanza wa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani na Diwani wao ni mzuri sana Napendekeza utaratibu huu utumike nchi nzima...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki...
2 Reactions
74 Replies
3K Views
Leo Prof. Lipumba atakuwa na jambo lake Magomeni. Kulikoni wapambe wamemtelekeza? Hata timu nzima ya chawa wazamivu nayo baridi! Kulikoni Jilala, Country , Mtambuka, joni inakuwa je sasa?
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu, Kumekuwa na watu wanapinga sana kusemwa kwa Mwendazake kwa mabaya aliyowatenda watu mbalimbali kutokana na madaraka aliyokuwa nayo. Hoja yao eti Mwendazake hayupo keshafariki...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu, Kwema? Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana. Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Antipas Lissu ameeleza kuwa Tume ya Uchaguzi ya Taifa haijawahi kuchapisha wala kuonesha kwa umma matokeo ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020. Tume...
1 Reactions
1 Replies
667 Views
Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe...
0 Reactions
4 Replies
662 Views
Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Akihitimisha hotuba yake na Viongozi wa Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini , Rais Samia, amekazia juu ya Suala la Maadili ambalo Mlezi wa Wanafunzi alikua kaligusia Awali. Japokua Mlezi wa Wanafunzi...
16 Reactions
30 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
CDF mstaafu Davis Mwamunyange ambaye ni mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA amesema wametembelea Bwawa la Nyerere kuangalia uwezekano wa kupata chanzo kipya cha Maji kwa akili ya mikoa ya DSM na Peani...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama...
27 Reactions
122 Replies
10K Views
Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika mahojiano na cloud media lisu ameongea kwamba hayati dr.john pombe magufuli raisi wa awamu ya tano alitamka akiwa ikulu akizungumzia swala la maknikia kuwa wasaliti wa nchi lazima...
0 Reactions
13 Replies
961 Views
Back
Top Bottom