Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Ni mtu mzima! Huyo Nasra Ni mtu mzima! Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics! Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1...
1 Reactions
3 Replies
885 Views
Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo? Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Unapiga faini kisa tu unaona MaTV yamezunguka yamezunguka ukutani,mziki mkubwa na viti vizuri ila hujui mtu anastress kiasi gani katika kuendesha biashara yake. Hawa watumishi wa umma kwenye mambo...
1 Reactions
12 Replies
923 Views
Nimeona video na Picha zikimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Jokate, kwenye kile kinachosemekana ni kukagua Bandari ya Tanga na kuangalia uwekezaji mkubwa unao gharimu bil 400 za Kitanzania...
19 Reactions
119 Replies
7K Views
Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Tanzania ni nchi pekee ambayo vioja haviishi, na vioja hivyo zaidi huletwa na watu wanaoijiita viongozi au Wasomi. Tanzania ndiyo nchi ambayo unaweza kupata mawazo ya kijinga zaidi kwa mtu...
31 Reactions
90 Replies
4K Views
Wenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Akihutubia maelfu ya wananchi mjini Manyoni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonekana kuguswa sana na hali ya maisha ya askari Polisi wa Tanzania, ambapo amegusia ripoti ya CAG, hasa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Maisha yapo kasi sana wakati tunaendelea kumwaga pongezi za utendaji mzuri wa mama Samia Rais wa JMT katika kipindi cha miaka miwili. Tumshukuru pia aliyemteua na kumpa nafasi ya kuwa mgombea...
1 Reactions
7 Replies
761 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii ilikuwa salamu tu ya Mh Lissu alipotua kwenye soko la Sabasaba huko Dodoma . Mungu ibariki Chadema Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mjadala unaendelea na za uso kama Kawa Hapo awali Mdee alimuita waziri Bashe mwongo na anadanganya watu kuhusu BBT sasa kwa sasa waziri ana round up amempa za uso mpaka akachakaa Fuatilieni...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Taasisi ya taifa ya mazingila, nawapongeza kwa kuzuia kelele mitaani Ulikuwa ni ujinga mtupu uliokuwa unapiga kelele kwenye mabaa mitaani. Ila nawalaumu NEMC kuufanya uzembe wa muda mrefu wakati...
6 Reactions
11 Replies
761 Views
Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku. Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Hapa jamaa yuko mbele sana hapa anachambua hadi Bashe anakalia moja Kumbe walipiga pesa za kilimo za maendeleo,walizibadilishia matumizi,upigaji Mfumo wa kufunga GPS ni kutafuta matumizi...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Bawacha mh CPA Ruge amemtaka Naibu wa Msajili wa vyama vya Siasa mh Sisty aache kutumika kuwaandikia "Love Letters" CPA Ruge amesema hayo baada ya Sisty kuwaandikia Bawacha Barua...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom