johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri wa Ardhi Dr Mabula amesema hakuna mtu aliyemfukuza mh Mwita Waitara kwenye kikao
Ufafanuzi wa Waziri unafuatia madai ya mh Waitara aliyoyatoa kwa Waandishi wa Habari jana kwamba yeye na Mwenyekiti wa CCM Wilaya walifukuzwa kwenye kikao cha Serikali kilichojumuisha Mawaziri Watatu Dr Mabula, Anjela Kairuki na Masanja
Source: East Africa Radio