thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Hili suala kuhusu fidia ya hao wananchi wa eneo husika ukilitazama kwa haraka haraka kupitia majibu ya serikali ni kama jepesi sana, lakini kiukweli si jepesi kihivyo, huko mbeleni lita backfire na serikali kujikuta inatumia nguvu nyingi kulitatua.
Kwa maoni yangu,hili si tatizo la mwekezaji kushindwa kulipa fidia maeneo hayo kulingania na thamani ya raslimali zilizopo ardhini,
Tatizo ni sisi watanzania baadhi wenye roho ya kwanini ambao hawapendi kuona watanzania wenzao wakinufaika na raslima za nchi yao hivyo kuwa kikwazo kwa wanufaika.
Je tujiulize thamani ya raslimali zilizopo hapo ardhini , hayo maeneo yanalingana na hicho kinachoitwa "tegesha"?
Kati ya wananchi wa maeneo hayo yanayoitwa "tegesha".na mwekezaji wa maeneo hayo ,nani alitanguliwa kuwepo?
Ifike mahala hawa middleman kati ya wawekezaji na wananchi wanaohitaji fidia wamulikwe ,hasa maafisa mahusiano wa hii miradi ya wawekezaji.
Imani yangu kuna uwezekano hujuma za kila aina zitafanyika hayo maeneo na kuathiri shughuli za mwekezaji hasa usalama wa mali za mwekezaji .
Hao wananchi wameingia gharama kubwa sana,hivyo hawatakubali wao pekee wapoteze,watatumia mbinu mbalimbali kushinikiza madai yao,zingine zaweza kuwa ovu.
Tabia ya wakazi wa hayo maeneo kihistoria inajulikana,hao sio kina nduhu tabu.
Kwanini ije kutumika nguvu kubwa ikiambatana na watu kupoteza maisha wakati hilo linaweza zuilika?
Wahusika wafanye juu chini kulimaliza hilo tatizo mapema iwezekanavyo
Ukija kwenye aina ya hii mikataba ya madini,wawekezaji bado inawapendelea sana ni kama vile wanachukua hizi raslimali bure kabisa, halafu cha kushangaza wanatokea watanzania baadhi waonea huruma haya makampuni na kukandamiza watanzania wenzao.
Rai yangu fidia ilipwe maisha yaendelee, hii ya waswahili kujifanya wanauchungu na pesa za wawekezaji ni unafiki wa hali ya juu sana,
Ile dhana ya mgeni njoo mwenyeji apone inapotea , ikumbukwe raslimali hizi i zinaisha, tuache kufanyiana roho mbaya.