Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama.
Sungusia ni nani?
Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye...
1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.
4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia.
Vigezo vinavyo...
WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu...
Wakuu,
Tunafahamu kumekuwa na minongono kuwa ndani ya CHADEMA kuna tofauti juu ya maridhiano yanayoendelea na CCM. Pamoja na Mh Mama Samia kukiri kuna wahafidhina Chadema na CCM wanaokataa...
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote.
RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini...
Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao.
======...
Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais...
Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi...
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana
Wakati wote huwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini...
Kote Nusu Mkate na Mkate mzima kuna faida na Hasara zake
Nusu Mkate inawahakikishia Chadema kuwa na Idadi fulani ya Wabunge kabla hata ya kupiga kura hiyo ni faida
Hasara ya Nusu Mkate ni...
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za...
Baada ya kujificha muda mrefu hatimaye Lissu ameamua kumwaga mboga kwa kuweka wazi msimamo wake, huu msimamo haujapendwa na viongozi wenzie ndani ya chama.
Mara nyingi nilikuwa nikiwaeleza hapa...
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa...
Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike.
Mei 7, mwaka huu Bawacha...
Spika wa bunge la Tanzania Mh Tulia Aksoni amepiga marufuku wabunge kuvua nguo Bungeni akisema ni kosa kubwa na kuonya tukio kama hilo lisijirudie tena
Tulia Aksoni alikuwa akizungumzia suala la...
Andiko la kumuombea heri katika uongozii mzuri katika wizara hii ya michezo, kwanza huyu mama Kama vile wizara imemkubali hivi au ndo vile ni mimi namuona ni Miongoni mwa viongozi Wenye uwezo wa...
Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020.
Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA...
UPDATE: MAY 2023
Hii thread ni ya tangu Mwaka 2014, miaka 9 iliyopita hadi leo 2023 barabara hali ni mbaya, pamoja na ahadi ya kuweka lami kipande hicho cha kilomita 21, ila hadi leo hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.