Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Tarime Vijijini wa CCM Wamejiuzulu mbele ya Mbunge wao Mwita Waitara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu.

Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki.

Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara alisema yeye alishatimiza wajibu wake hivyo Wananchi waamue wenyewe.

Source: Star TV
 
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu

Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa Tamisemi mh Anjella Kairuki

Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara alisema yeye alishatimiza wajibu wake hivyo Wananchi waamue wenyewe

Source: Star tv
Waitara tatizo Pombe nyingi
 
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu.

Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki.

Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara alisema yeye alishatimiza wajibu wake hivyo Wananchi waamue wenyewe.

Source: Star TV
Maslahi ya watu ni muhimu kuliko Chama.
 
S
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu.

Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki.

Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara alisema yeye alishatimiza wajibu wake hivyo Wananchi waamue wenyewe.

Source: Star TV
Sasa mbona Waitara yeye hajajiuzuru😃
 
Kufuatia sintofahamu ya mipaka huko Tarime Vijijini Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Wamejiuzulu.

Kujiuzulu kwao kumefuatia kutoridhika na maelezo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki.

Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara alisema yeye alishatimiza wajibu wake hivyo Wananchi waamue wenyewe.

Source: Star TV
Wezi wa kura hawawezi kuishi kwa amani hata siku moja, huoni hata Mwita mwenyewe kila leo anabubujikwa na machozi ovyo kama mtoto aliyebemendwa
 
Back
Top Bottom