USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,160
- 28,805
Nimewaza sana ukubwa wa Hekari moja na milioni 16 yaani 70 kwa 70 utumie milioni 16 kusafisha eneo hilo linakuwa na nini hasa.
Mimi niliwahi kununua ekari 50 mkoa wa pwani maeneo ya makata pali vijana walisafisha kwa miliona 5 eneo lote kwa maana ya laki moja kwa hekta wakati namalizia jamaa mmoja mwajeshi mstafu ananimbia nimepigiwa.
Hivi Bashe kweli alikulia kijijini kama alivyosema jana bungeni?
Ukiuliza kila mtu anakataa kabisa anakuona unamsinguzia waziri hakusema hivyo hasa wale wakulima wa kijijini ambao hawakusikiliza bajeti jana .
Bashe umeniangusha sana nilikumini sana tena sana naona vijana tunazidi kuwa wala rushwa kuliko hata wazee
Hoja ya Mdee jana nimeifikiria kwa undani sana