Inavyoonekana ziara za Tundu Lissu mikoani zimekuwa kama zile Kampeni zake za 2020. Hakuna machinary ya Chama inayoambatana nae. Sio CHADEMA media wala uongozi wa Chama.
Je Lissu anaanza kupitia kikaango cha Makamu Wenyeviti wenzie waliomtangulia akina Wangwe, Arfi na Prof Safari? Hawa wote walikuwa wananyimwa rasilimali za kufanya ziara mikoani. Naona ndio kinachomkuta Lissu sasa