Dar: Polisi wakubali kufanyika Maandamano ya BAWACHA, yaahidi kuyalinda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo, hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .

Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa , imeandaa maandamano ya amani Jijini Dar es salaam ambayo yamepangwa kufanyika 11/5/2023 , kwa lengo la kupinga uharamia uliofanywa na serikali ya ccm wa kuwaweka bungeni wabunge wasaliti waliotimuliwa chadema , Wasaliti hao wakiongozwa na Halima Mdee na dadaangu Sophia Mwakagenda wamepachikwa jina Maarufu la COVID 19.

Maandamano hayo yataanzia Posta ya Zamani (Garden) na kuishia kwenye ofisi za Bunge .

Usisahau kumtaarifu na mwenzako

Wote Mnakaribishwa .

JamiiForums753274111.jpg

UPDATES
========
Mipango ya kurusha live maandamano haya kupitia Vituo kadhaa vya TV inaendelea

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo , hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .

Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa , imeandaa maandamano ya amani Jiji Dar es salaam ambayo yamepangwa kufanyika 11/5/2023...
Kumbe bado mnaomba mlisema mmeruhusiwa kule mnatoa taarifa tu leo unashangilia polisi kuruhusu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo , hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .

Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa , imeandaa maandamano ya amani Jijini Dar es salaam ambayo yamepangwa kufanyika 11/5/2023....
Waruhusu na wamachinga waandamane,wanahoja zao pia,

Wanaruhusu ya wanawake,ya vijana mashababi wanayakataza why?,kwasabu wanawake ni dhaifu hivyo ni rahisi kuwamudu in case.....
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo , hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .

Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa , imeandaa maandamano ya amani Jijini Dar es salaam ambayo yamepangwa kufanyika 11/5/2023 , kwa lengo la kupinga uharamia uliofanywa na serikali ya ccm wa kuwaweka bungeni wabunge wasaliti waliotimuliwa chadema , Wasaliti hao wakiongozwa na Halima Mdee na dadaangu Sophia Mwakagenda wamepachikwa jina Maarufu la COVID 19.

Maandamano hayo yataanzia Posta ya Zamani (Garden) na kuishia kwenye ofisi za Bunge .

Usisahau kumtaarifu na mwenzako

Wote Mnakaribishwa .

View attachment 2616725

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Picha ya Bibi yako naipenda sana hii!!
 
Ni Vyema kabisa hawa wabibi wafanye mazoezi ya viungo. Mungu awabariki
 
COVID-19 wapo Bungeni Dodoma,nyie maandamano mnafanyia Dam,mbona kama manatunyia maigizo ya Ngogwe!
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo , hasa baada ya mvutano kati ya viongozi wa Bawacha na Polisi kumalizika .

Bawacha ambayo inatajwa kuwa ndio Taasisi bora zaidi ya Wakina Mama Barani Africa , imeandaa maandamano ya amani Jijini Dar es salaam ambayo yamepangwa kufanyika 11/5/2023 , kwa lengo la kupinga uharamia uliofanywa na serikali ya ccm wa kuwaweka bungeni wabunge wasaliti waliotimuliwa chadema , Wasaliti hao wakiongozwa na Halima Mdee na dadaangu Sophia Mwakagenda wamepachikwa jina Maarufu la COVID 19.

Maandamano hayo yataanzia Posta ya Zamani (Garden) na kuishia kwenye ofisi za Bunge .

Usisahau kumtaarifu na mwenzako

Wote Mnakaribishwa .

View attachment 2616725

UPDATES
========
Mipango ya kurusha live maandamano haya kupitia Vituo kadhaa vya TV inaendelea

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kurusha Live kwenye vituo vya wanaousubiri uteule wa Udc! Sijui kama watathubutu.
 
Back
Top Bottom