Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
0 Reactions
0 Replies
87 Views
MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 1 NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 2
6 Reactions
91 Replies
11K Views
Wakuu, Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena? Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo...
3 Reactions
20 Replies
522 Views
Leo hii Lijualikali ni DC, Wenje na Peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala? Daaaa! Wenjeee, daaaaa Peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?😊🤣😵‍💫😁😁😄😃😀
2 Reactions
11 Replies
343 Views
Kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, kuhutubia kwa lugha ya Kiingereza alipokuwa akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinafikirisha sana kuhusu mustakabali wa...
1 Reactions
56 Replies
926 Views
https://www.youtube.com/watch?v=ccIXTSjIcMs
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
5 Reactions
6 Replies
183 Views
Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa...
7 Reactions
11 Replies
307 Views
Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza. Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi...
3 Reactions
3 Replies
270 Views
  • Redirect
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ni ya kihistoria, ikionesha uadilifu wa hali ya juu. Imejengwa juu ya ushahidi wa kina, ushirikishwaji wa wananchi na kujitolea...
1 Reactions
Replies
Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi...
10 Reactions
94 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Mstaafu aliyeongoza Kampeni maarufu ya kujivua Gamba Ndani ya CCM ili Wale walioitwa Mafisadi na...
1 Reactions
11 Replies
344 Views
William Ruto aligopa kumualika Rais Samia nchini Kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aliogopa atazomewa na vijana Kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi...
4 Reactions
8 Replies
272 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, kimeishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwenye mafuta. Hatua hiyo inalenga kupunguza...
0 Reactions
13 Replies
324 Views
Leo sina salamu, siku hazigandi, wanaonizunguka wananichora tu, kuna siku kisiwa kitatawaliwa kibabe na Tanganyika kama Tawan, na hakutakua na namna, niyafanyayo mpaka vitukuu wangu watajutia...
2 Reactions
4 Replies
160 Views
05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA...
5 Reactions
7 Replies
328 Views
30 April 2026 Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4 Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama...
3 Reactions
2 Replies
189 Views
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na...
13 Reactions
31 Replies
789 Views
Back
Top Bottom