Kwasababu sote ni mashahidi na tunasikia na kuona jinsi ambavyo wanayumba na kudandia kila kitu ambacho ni kipaumbele cha waTanzania, na all over the sudden wanakibwaga na kudandia kingine on the...
Wanabodi,
Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa...
Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale...
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,
Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi...
ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI.
Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari...
Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses!
Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote...
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.
Sina shaka yoyote...
Tafuteni namna ya kukutana na world's big powers na kuwaeleza hali ilivyo tete Tanganyika
1. Mauaji
2. Arbitrary detentions
3. Etc etc etc etc
Erythrocyte
Seek for their intervention
MTOTO AMBAYE HUJAMLEA NA HUJAWAHI KUONGEA NAYE(HAMNA MAHUSIANO) HATAKIWI KUKURITHI LABDA UMPE ZAWADI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sisi Watibeli ambao tunaijua haki vilivyo. Na tunajua...
Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote.
Kwa...
Abdul nondo anasema.....
Ngome ya vijana ACT wazalendo tumesikia kauli ya Makamu wa Rais Dkt.Emmanuel John Nchimbi aliyoitoa tarehe 24/Julai/2026 kuhusu hoja ya KATIBA MPYA. Makamu wa Rais Dkt...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi...
Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi...
Viongozi, kumbukeni kwamba mwaka 2030 bado uko mbali. Kazi yenu kwa sasa ni kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kutekeleza wajibu wenu kwa matokeo yanayoonekana.
Mkianza mbwembwe za kisiasa...
RIP upinzani Tanzania.
CCM wametumia chini ya 50% tu ya mbinu zake kushinda chaguzi na kuendelea kushika dola.
Najua jambo la kwanza mtasema polisi ndio huwapa ushindi CCM.
2015 upinzani Ikulu...
Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza...
Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇
Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu...
ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.