Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui...
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako...
Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama...
Habari ya usiku huu.
Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko.
Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine...
Wanaukumbi,
HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya...
Tuliambiwa na January Makamba kuwa mioundombinu ya kusambaza umeme kwa njia ya grid ya taifa imechakaa.
January Makamba kama waziri wa nishati akawawap tenda ya kutengeneza miundo mbinu ya gridi...
Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi...
Wana-JamiiForums,
Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri...
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:
1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)
2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)
Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya...
https://www.youtube.com/live/MtR5KcFyDDI?si=5zzGKudxe0sJLzjx
KAFULILA ANATOA MHADHARA MZUMBE, AKISISITIZA KUREJEA KWA MIJADALA YA UMMA
MOROGORO: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya...
Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia.
Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic
Sekta...
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi...
Wanabodi,
Nimeogopeshwa na lugha kali za kuyapinga maandamano ya huyu dada Mange Kimambi!, kumbe Mange anaogopwa hivi?!. Yaani anahamasisha maandamano ya mtandaoni tuu kuwa watu wataandamana...
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.