Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imekuwa mara ya pili Sasa Serikali inapanga kuwaambia Wananchi uongo na kazi hiyo anapewa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa. Hata kama anajipanga...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Sikuhizi hadi nashindwa kuandika,madudu niliyojionea, nikuwaza hadi naskia uchungu na kulia kabisa Honestly nchi inapigwa hii infact hatuna viongozi kabisa Laiti mngejua mngeuangana wote bila...
9 Reactions
15 Replies
524 Views
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH. Assalaam alaikum...
1 Reactions
13 Replies
255 Views
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili. Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na...
13 Reactions
125 Replies
2K Views
Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno...
5 Reactions
19 Replies
680 Views
Kwenye tawala nyingi za Afrika kuna vibweka vingi sana kwenye huu uzi ntaongelea kibweka kilichotolea wakati wa utawala wa magufuli Magufuli alipoingia madarakani alipiga marufuku ajira kwa...
9 Reactions
143 Replies
2K Views
Andiko la Mohamed Mshamu Ngulangwa ambaye amejiuzulu nafasi ya Ukurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma kwenye chama Civic United Front (CUF): =================== Leo Jumamosi Juni 27...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na...
5 Reactions
16 Replies
410 Views
Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka? Waziri...
4 Reactions
23 Replies
218 Views
Ndugu wana-jamvi, Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa...
1 Reactions
7 Replies
124 Views
Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo...
10 Reactions
13 Replies
580 Views
Jeshi la polisi Tanzania, mmemsikia waziri mkuu,snadai Kuna mtu kakamatwa na mabomu, JE nyinyi mdo mlimkamata? Mbona mpo kimnya? Mtajeni tumjue huyo ni adui wa Taifa letu sote kama kweli kakamatwa...
3 Reactions
19 Replies
227 Views
Moja ya kitu siwezi kukisaau ni KAULI za hayati Magufuli enzi za maradhi ya korona hakika zilizuia taharuki kubwa sana kwa wananchi, Wapo walio KAIDI ushauri wao na kwakweli waliondoka na korona...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Tufike pahala tuelezane ukweli Katambi na wenzake tuna kila sababu za kuwapuuza kama kweli tunaitaka nchi yetu iendelee. Wewe unazuia mikutano ya HADHARA ukiwa bungeni,hiyo hatari uliyoiona...
4 Reactions
4 Replies
133 Views
  • Redirect
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kumetokea hitilafu katika gridi ya taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayohudumiwa na gridi kukosa umeme, na kwamba inaendelea na jitihada za...
1 Reactions
– Replies
– Views
https://www.youtube.com/live/h3i8-aVhzGA https://www.youtube.com/watch?v=G7NseGbdVVM Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya...
6 Reactions
7 Replies
279 Views
Je, Hivi Ndivyo Wafanyakazi Wanavyopaswa Kuishi? Malalamiko Mazito Kuhusu Mazingira ya Kazi Katika Kiwanda cha Fortune Paper Kuna haja mamlaka husika nchini Tanzania kuangalia kwa karibu mazingira...
1 Reactions
9 Replies
186 Views
Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Back
Top Bottom