Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DeletedMember281674
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge...
8 Reactions
15 Replies
410 Views
Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa...
3 Reactions
22 Replies
221 Views
Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh...
0 Reactions
7 Replies
289 Views
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za...
2 Reactions
40 Replies
739 Views
Siioni chadema inayotetea maslahi na fikra za watanzania bali inafanyia kazi maelekezo ya wazungu wahuni hivyo tuikatae
1 Reactions
40 Replies
224 Views
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na...
6 Reactions
17 Replies
539 Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar - Mafunzo kutoka kitabu "Pan-Africanism or Pragmatism?" cha Prof. Issa Shivji https://www.youtube.com/watch?v=AcK2xEIZJN8
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Ni wazi usalama wa watu na makazi ya kila mTanzania, ni muhimu zaidi ya uhuru wa kuchchea au kuhubiri chuki, uhasama na migawanyiko nchini, kwa mgongo wa kufanya siasa. Tumpongeze waziri wa mambo...
4 Reactions
21 Replies
134 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema Kama Tanzania kuna hali ya hatari, Mikusanyiko yote ya dini, michezo, mazishi nk, ipigwe marufuku, sio siasa tu...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Huyu jamaa anayejita shekh mbona serikali inamuacha na kauli zake, au anatumika kwenye matukio yao? Na amini angezungumza maneno haya mpizani wa serikali basi kwa sasa angekuwa katika hali mbaya...
5 Reactions
39 Replies
857 Views
Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa...
0 Reactions
41 Replies
376 Views
  • Redirect
Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya. TII SHERIA BILA SHURUTI
1 Reactions
– Replies
– Views
Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane...
7 Reactions
9 Replies
248 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ammwagiza IGP Wambura na Makamanda wa Polisi Mikoa kufungia maeneo yote ambayo yatakuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani nyakati za usiku Pia soma...
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi. Fatuma ameeleza kuwa...
1 Reactions
19 Replies
279 Views
Vichwa vitatu vimetosha kabisa kabisa kumsimamisha siasa na miktano ya hadhara STEPHEN WASIRA na vijana wote wa CCM na kama litakuwa jema na wamepatia bila kujua madhara yake hapo badae. Hili ni...
23 Reactions
53 Replies
962 Views
Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu...
1 Reactions
8 Replies
117 Views
  • Redirect
Tunaishi kwa kutegemea kutembea nje ya nyumba zetu ili maisha yetu yaendelee, hatuna access ya soft money kama nyie wenzetu chadema ambao mnategemea mle kupitia Hela za mabeberu. Kwahyo chadema...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wananchi wameendelea kushuhudia maeneo ya wazi Dar es salaam yakigawanwa na vigogo kama Karanga au Pipi wakiweka showroom za magari na mengine kugeuzwa matumizi kwa kisingizio uwekezaji...
1 Reactions
4 Replies
93 Views
Wote tunajua maana ya neno Tukufu kwamba ni kitu kisafi chenye hadhi ya utakatifu. Rais Benjamin William Mkapa alikataa asiitwe mtukufu rais kwakuwa alijua hadhi na upekee WA neno Hilo. Sasa...
0 Reactions
8 Replies
118 Views
Back
Top Bottom