Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,309
- 5,244
Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu.
Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana.
Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A)
Basi ukiwa upo Kwenye Vyama vyetu Rafiki na kile cha kushika Hatamu shirikiana nao kwa Akili sana laa sivyo utajikuta / Mtajikuta Hamna mission mtafanikiwa.
Kuna Kikundi kipo kinapendwa sana na Watanzania ila niwambie Tu wanawachora.
Kete yao mtaiona very soon.
Kwenye eneo la Waanharakati Kuna Vimeo kibao ... Watch Out.
GM ( Kaburini Chato)
CC Wanaharakati X ( Twitter)