Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwl Udadis, Mtwara Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na kampuni za Equinor & Shell yamekamilika kwaajili ya uwekezaji katika mradi wa gesi asilia, mradi wenye thamani ya Dola Bilioni...
2 Reactions
7 Replies
888 Views
Hizi ndio taarifa Kutoka Mkoani Katavi kwamba sasa Tundu Lisu na J J Mnyika watakuwa Kikosi cha Anga na Mwamba ataongoza Kikosi cha Ardhini Siasa ni Sayansi, Siasa ni Mipango na Siasa ni...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Julius Kambarage Nyerere. 1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli. 2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho. 3. Kiongozi aliyekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Watanzania Wengi siyo wabobezi au wafuatiliaji wa Siasa hivyo hawanaga Muda wa kumfagilia Mwanasiasa yoyote Hivyo kinachotokea ni kuunda Vikundi vya kusifu na kuabudu mfano ni hawa Chawa wa CCM...
1 Reactions
11 Replies
708 Views
Habari wadau wa siasa na masuala ya serikali. Mada hapo juu imejidadavua vizuri. Mwaka 2020 madarasa mawili yatahitimu shule za msingi. Yani darasa la sita na saba. 2021 form one zitakuwa mbili...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
"Mahakama kuu masijala ya Moshi (Moshi Registry), imeruhusu shughuli za kilimo kuendelea kwenye shamba la kampuni ya Kilimanjaro Veggies inayomilikiwa na FREEMAN MBOWE Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
41 Reactions
261 Replies
38K Views
Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Mbunge wa zamani wa Maswa kupitia Chadema, aliyekihama chama hicho na kwenda kujificha ACT Wazalendo Leo Amerejea tena Chadema. Marejeo hayo yamefanyika mbele ya Umati wa Wananchi kwenye Mkutano...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika wizara yake ufisadi umeenea kuanzia juu mpaka chini. Waziri anajua hachukui hatua kwa sababu alihusishwa. Bunge linasema, Rais yupo kimya. Nani anamlinda zaidi ya Rais mwenyewe. Kama Rais...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi. Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Hicho Kijiji CCM ya Waziri Awesu ipo lakini wananchi kwa mapenzi mema wakawaomba CHADEMA wawafungulie mradi wao wa maji walioujenga wao wenyewe basi nawapongeza sana wanakijiji na CHADEMA. Na...
2 Reactions
3 Replies
476 Views
Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma. Pesa hizo zingetumika kuunda...
2 Reactions
7 Replies
611 Views
Wanabodi, Kiongozi siku zote hawezi kutekeleza majukumu yake au ilani yake bila kushirikiana na taasisi mbalimbali serikalini. Hii ina maanisha kwamba mbunge yeyote lazima ashirikiane na madiwani...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anaheshimika Na kukubalika Sana na mamillion ya watanzania,ndio maana kila utakakopita mitaani unaona namna mh Rais anavyozungumzwa kwa mema,kila...
1 Reactions
17 Replies
769 Views
Jana mzee Wetu Malecela amewasili Dar kwa ajili ya msiba wa mwanae Le mutuz Mzee Malecela ni Makamu mwenyekiti wa CCM mstaafu alistahili mapokezi yenye hadhi katika wakati huu mgumu CCM...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ijulikane kwamba Dikteta John Magufuli na Kachero Bernard Membe wote Sasa ni marehemu. Wote walikuwa ni wana-CCM. Wote wamehudumu kama Mawaziri chini ya Dk. Jakaya Kikwete. Wote waliutaka Urais...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo. Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu. Lakini nimekutana na pingamizi, hacha...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Mkutano wa mawakala wa usafiri Africa ya Mashariki na Kusini mwa Africa mjini Zanzibar. video: courtesy of Millard Ayo ESATA wahoji vipi gharama ya tiketi ya ndege Dar es Salaam Nairobi iwe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma. Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo...
83 Reactions
223 Replies
17K Views
Back
Top Bottom